CANNY DRAMA
JF-Expert Member
- May 10, 2019
- 383
- 500
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika