Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar. 1. Mchirizi (Mfereji) 2. Umenifahamu? (Umenielewa) 3. Markiti (Sokoni). Edits, from posts in this thread: 4. Skuli (shule)...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama tujuavyo, Kiswahili husifiwa kama lugha ya rasmi ya Tanzania. Lakini kabla ya kusanifishwa, Kiswahili kilikuwa kimeandikwa kwenye herufi ya Kiarabu kwa muda mrefu sana. Naomba kuwauliza ninyi...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Bila shaka hamjambo wana JF, Hivi jamani, upi utajiri wa vitenzi kisemantiki na kisarufi? Karibuni sana wana JF, mtoe mchango wenu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Waandishi wa Vitabu naombeni Mnielekeze Nimeandika kitabu cha English Grammar kwa kushirikiana na Maprofessor wa will wa lugha hapo UDSM na Phd holder flan wa chuo cha Havard ambaye nilimuomba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau hii hali inanikuta nikitaka kutema yai sijui kwa nini tena nikiwa kwenye kadamnasi napata ubaridi zaidi. Msaada jamani naaibika mwenzenu. ** Tena nikiona mademu ndo jasho linanitoka mwili...
10 Reactions
125 Replies
16K Views
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa? Napenda tufanye challenge kidogo ili kuboresha uwezo wetu wa kiingereza. Sentensi hizi ukitaka kuzipeleka kwa lugha ya kiingereza Zinakuwaje: 1. KAMA...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakubwa naomba ufafanuzi wa swali hili linahitaji nini "In wich circumstances the literature review is said to be critical"
1 Reactions
1 Replies
817 Views
Kwa wale ambao mpo online sahizi, hivi hili neno "nachelea" maana yake nini hasa na linatumikaje kwenye sentensi?
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums Ndugu zangu watanzania; Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu Kamwene, Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF KAMWENE! Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo? Ulimfanya...
0 Reactions
111 Replies
16K Views
I am well experienced in editing different English Manuscripts for all kind of genres. My price is relatively affordable. For any interested author please mail me in tatamkuria@gmail.com
1 Reactions
4 Replies
817 Views
Habari ya jmos wana jamvi, Nahitaji kisaidiwa “MWANYA“ unaitwaje kwa kidhungu Pia “PENGO“ kwa kiinglish.
0 Reactions
53 Replies
32K Views
Je Yana maana gani?! Je yalianzaje?! Maana nimeyasoma jamii forums pekee lakini mtaani sikuwahi kuyasika.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii tujikumbushe baadhi ya misemo ambayo zamani ilikuwa kwenye chati na sasa haitumiki tena.. Kwa mfano nakumbuka misemo kama kuachwa kwenye mataa, Viatu vya Ndula, lakuchumpa n.k, Pia...
0 Reactions
150 Replies
41K Views
Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu. Mimi ni mchaga niliyezaliwa na kukulia nje ya mkoa wa Kilimanjaro ambapo sikuwa na fursa ya kujifunza lugha ya kichaga. Nimejaribu kuangalia resources mbalimbali kwenye mtandao...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Mambo vipi wakuu! Siku za hivi karibuni nilimsikia mtangazaji mmoja wa radio flani akizungumzia chuo flani huko mkoani Kilimanjaro. Neno alilokuwa akitumia ni "hiko" (tofauti na wengine niliozoea...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
METHALI MIA SITA NA KUMI (610) 1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende...
1 Reactions
17 Replies
51K Views
Back
Top Bottom