Je, baharia ni nani?

mwenebhukabho

Member
Jul 11, 2015
6
5
Wadau nimekua nikiuliza maswali kwa watu mbali mbali juu ya ubaharia.sijui ni kazi ya namna gani,wana majukumu gani,wanasomea wapi na pia wanalipwa nini!?wajuzi wa mambo tujuzane maana kila mtu anajiita baharia ili aonekane mjanja.
Naomba tuelekezane.
 
le mutuz si anasema yeye ni le baharia mzoefu .....aje akuambie alisomea wapi
 
Wadau nimekua nikiuliza maswali kwa watu mbali mbali juu ya ubaharia.sijui ni kazi ya namna gani,wana majukumu gani,wanasomea wapi na pia wanalipwa nini!?wajuzi wa mambo tujuzane maana kila mtu anajiita baharia ili aonekane mjanja.
Naomba tuelekezane.

Baharia au mwanamaji ni mtu anayefanya kazi kwenye chombo cha usafiri majini, hasa baharini kama vile boti, mashua, jahazi au meli.

Kuna kazi nyingi tofauti zinazotekelezwa na mabaharia ambao mkuu wao ni nahodha au kapteni wa chombo. Katika mashua au jahazi ndogo mabaharia wote wanafanya kazi pamoja ilhali kazi sahili na ngumu zaidi hupewa kwa wale walio vijana. Kadri jinsi meli ni kubwa zaidi shughuli zinagawiwa baina ya mabaharia wenye ufundi fulani.

Meli kubwa unaweza kuwa na idara tofauti kama vile

  • shughuli za sitaha pamoja na mizigo
  • shughuli za injini
  • huduma za chakula
  • huduma ya afya
 
Wana jf naomba mnijuze hivi MABAHARIA Ni akina Nani na wanafanya kazi gani
Mana Kila nikipita kwenye social media hili neno limetrend Sana siku hizi.
Mnisaidieeee
 
Ni msem uliozuka tuu mkuu lakini kikawaida mabaharia ni wafanyakazi wazamiaji wa meli ambao huhusika zaidi na uokoz na kazi nyingine nyingi katika meli
lakini kwa sasa msemo kam.mingine iliyokwisha kupitaa
Nashukuru maana hata Mimi nikijua hivyo lakini nikashangaa wanaoitwa hawafanani na meli Wala bot
 
Back
Top Bottom