Wadau hii hali inanikuta nikitaka kutema yai sijui kwa nini tena nikiwa kwenye kadamnasi napata ubaridi zaidi. Msaada jamani naaibika mwenzenu.
Ni tatizo la watu wengi mkuu, Mimi huwa napata kiu, njaa na usingizi kwa wakati mmoja pale ninapothubutu kuzungumza kwa hiyo lugha tunayoijadili (sitaki hata kuitaja)
Weka pichaWadau hii hali inanikuta nikitaka kutema yai sijui kwa nini tena nikiwa kwenye kadamnasi napata ubaridi zaidi. Msaada jamani naaibika mwenzenu.