Portuguese / Spanish Language Partner

Jay wa Jay

Member
Feb 4, 2013
65
125
¡Holla! E ai galera, tudo bem? . Natafuta mtu / watu wa kuwasiliana naye / nao kwa kutumia lugha hizo hapo mbili kama sehemu ya kujifunza.

Kama upo tayari naomba tujulishane na tujadili ni njia ipi inafaa ku-practice lugha hizo (chatting, voice messages, calling etc), kwa sababu naona kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo uwezo wa kusikia na kuongea unapungua.

Kwa spanish nipo beginner lever, kwa portuguese nipo intermediate level.

Karibuni kwa mjadala "latin languages lovers" wote.

NB: sio lazima uwe na idea na lugha zote, inaweza ikawa mojawapo kati ya zilizotajwa.

¡Muchas Gracias! Obrigado!
 

Attachments

  • 27972505_2761557983884547_1968771331563189494_n.jpg
    File size
    75.8 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom