Neno "Nachelea" maana yake nini?

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
967
664
Kwa wale ambao mpo online sahizi, hivi hili neno "nachelea" maana yake nini hasa na linatumikaje kwenye sentensi?
 
Chelea- kuogopa, kusita
Mfano wake ni kama nachelea kuwaambia kuwa jambo hili lina athari kubwa kuliko muonavyo.
Ni kitangulizi cha kitoa taarifa mbaya.
Kizungu chake ni 'iam afraid to tell you that was not proper medication for your illiness.'
Thanks nimeelewa
 
Kwani yeye kaulizia kizungu chake ? Au kaulizia maana ya neno ,,nachelea'' ? Hivi huwa mnasoma na kuelewa kilichoandikwa ?
 
Nachelea, naogopa???. Mfano, Sipiti njia hii nachelea kuliwa na Simba??? 🤣
 
Chelea- kuogopa, kusita

Mfano wake ni kama nachelea kuwaambia kuwa jambo hili lina athari kubwa kuliko muonavyo.
Ni kitangulizi cha kitoa taarifa mbaya.

Kizungu chake ni 'iam afraid to tell you that was not proper medication for your illiness.'
Swadaktaa.

Umemaliza kitu kuhusu neno hilo.

Ahsante.
 
Nachelea, naogopa???. Mfano, Sipiti njia hii nachelea kuliwa na Simba???
Siyo kila eneo inafiti. Mfano "kuona cha moto" means kupata pigo ama maumivu makali. Lakini siyo sahihi kusema: "Ajali imetokea na abiri watatu wameona cha moto." Utakuwa ujahili uliokithiri!
 
  • Thanks
Reactions: T11
Siyo kila eneo inafiti. Mfano "kuona cha moto" means kupata pigo ama maumivu makali. Lakini siyo sahihi kusema: "Ajali imetokea na abiri watatu wameona cha moto." Utakuwa ujahili uliokithiri!

Kupata pigo au maumivu makali ni sawa na kuona cha moto, inajuaje mtu ashindwe kutumia neno hilo katika ajali uliyoiainisha??, ni kigezo gani cha kufuatwa ili mtu asiweze kutumia hilo neno katika huo muktadha???.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom