Muda si rafiki tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muda si rafiki tena

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Buza, Sep 30, 2012.

 1. B

  Buza Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watangazaji wengi wa radio na luninga wanapenda sana kutumia msemo huu, "muda si rafiki tena" wakati kipindi kikifikia mwisho wa muda wake uliopangiwa. Je wataalamu msemo huu ni sahihi, Naomba ufafanuzi.
   
 2. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Muda ukipita umepita hauwez kurudisha tena.
   
Loading...