neno MUHESHIMIWA?

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
503
157
imekua desturi ya Tanzania,ya kwamba kiongozi yeyote(especially MBUNGE) kuitwa muheshimiwa. MI nnavyoona kiongozi yupo pale kuwafanyia kazi wananchi. kiongozi - sisi TU MLIPE MSHAHARA;atuibie;atudanganye; atu tapeli, halafu than tumuite MUHESHIMIWA! mi sijui naona watanzania tumesahau kiswahili au LABDA NI MBINU ya viongozi wetu KUJISAFISHA? au wewe mdau unalionaje hili??
 
Mbona hata mahakimu na Majaji ni waheshimiwa .....................!!!
 
Mimi nakubaliana na wewe kuwa hili neno mheshimiwa linatumiwa vibaya. Kiuhalisia kila binadamu anahitaji kuheshimiwa hivyo sote tu waheshimiwa. Tatizo la viongozi wetu wa sasa wanataka sana utwana na ndiyo maana walikuwa wanataka wapigiwe hata na saluti na majeshi yetu.
 
Madogo bwana, aiyekwambia ni desturi nani?

Uheshimiwa wao si desturi bali ni ule uanachama wao katika vyombo vya maamuzi. Kumuita Mkurugenzi wa kampuni mheshimiwa ni chaguo lako lkn Law Practitioners na Members of Parliament ni Waheshimiwa. Usikurupuke kuwaadress kipuuzi utatoka nje ya mistari ya maadili.

Hon. John Mnyika MP,

Hon. Mwana Mtoka Pabaya CJ

Hon. Kimbweka Mropokaji Judge of High Court,

Sawa wakuu. Si kwamba wao wanawaambia wananchi wawaite hivyo la hasha, tunawaita hivyo kwa mujibu wa nyadhifa zao kwenye mabaraza ya maamuzi ya sheria.

Msiwe kama Iddi Amini: My Majesty Mr.Queen, Sir
 
Scaring tactic to the lowly. Period.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Madogo bwana, aiyekwambia ni desturi nani?

Uheshimiwa wao si desturi bali ni ule uanachama wao katika vyombo vya maamuzi. Kumuita Mkurugenzi wa kampuni mheshimiwa ni chaguo lako lkn Law Practitioners na Members of Parliament ni Waheshimiwa. Usikurupuke kuwaadress kipuuzi utatoka nje ya mistari ya maadili.

Hon. John Mnyika MP,

Hon. Mwana Mtoka Pabaya CJ

Hon. Kimbweka Mropokaji Judge of High Court,

Sawa wakuu. Si kwamba wao wanawaambia wananchi wawaite hivyo la hasha, tunawaita hivyo kwa mujibu wa nyadhifa zao kwenye mabaraza ya maamuzi ya sheria.

Msiwe kama Iddi Amini: My Majesty Mr.Queen, Sir

nyongeza
mheshimiwa ni mtu/kiongoz anayepatikana kwa kupigiwa kura ila siyo kwa kuteuliwa
 
Mimi nakubaliana na wewe kuwa hili neno mheshimiwa linatumiwa vibaya. Kiuhalisia kila binadamu anahitaji kuheshimiwa hivyo sote tu waheshimiwa. Tatizo la viongozi wetu wa sasa wanataka sana utwana na ndiyo maana walikuwa wanataka wapigiwe hata na saluti na majeshi yetu.

ni kweli kabisa mkuu. Halafu pia kuna ile watu kujipendekeza kwao sijui kwa lipi. na pia naona hawa watu, wabunge na wa mahakimu wanakula sahani moja ili kukandamiza wananchi na pia KUJIWEKA WAO TOFAUTI NA WENGINE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom