Wataaluma wanapotumika kuchafua lugha ya kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataaluma wanapotumika kuchafua lugha ya kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mmeku Tukulu, Oct 4, 2012.

 1. M

  Mmeku Tukulu Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kamusi iliyotolewa na Taasisi ya
  Uchunguzi wa Kiswahili (Chuo Kikuu cha
  Dar es Salaam), "English-Kiswahili
  Dictionary" kuna neno CCM, n(abbr. of )
  Chama cha Mapinduzi. Hivi kweli huku si
  kuidhalilisha lugha ya kiswahili? Kifupisho
  cha chama fulani kinawezaje kuwa ni neno
  rasmi katika lugha ya kiswahii? Wataalamu
  wa lugha tuwekeeni wanajamii ufafanuzi
  maana vifupisho vya vya Tanzania na nchi
  nyinginezo kinakozungumzwa viko vingi.
   
Loading...