Msaada Wa Kisheria juu ya wizi huu unaofanywa na Kampuni ya tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Wa Kisheria juu ya wizi huu unaofanywa na Kampuni ya tigo

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Amakando, Oct 1, 2012.

 1. Amakando

  Amakando Senior Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta, Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote juu ya Tamasha hilo, nimepiga simu na kutoa taarifa customer care ambapo kila mara nimekuwa nikielezwa kurekodi malalamiko yangu lakini hakuna majibu yeyote toka kwao, inaniuma sana na nasikitika shilingi mia kwa kila mteja wa kampuni hii kuondoka pasipo hiyari ni wizi, je clouds wanashiriki kupora hela zetu pamoja na tiGo ili iweje? tafadhali naomba msaaada wa Kisheria nifanyeje?
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,467
  Trophy Points: 280
  Nenda TCRA.....
  Ukweli tiGo ni wahuni sana...
   
Loading...