Wataaluma wanapotumika kisiasa kuchafua lugha ya kiswahili

Mmeku Tukulu

Member
Feb 11, 2012
92
27
Katika kamusi iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), "English-Kiswahili Dictionary" kuna neno CCM, n(abbr. of ) Chama cha Mapinduzi. Hivi kweli huku si kuidhalilisha lugha ya kiswahili? Kifupisho cha chama fulani kinawezaje kuwa ni neno rasmi katika lugha ya kiswahii? Wataalamu wa lugha tuwekeeni wanajamii ufafanuzi maana vifupisho vya vyama nchini Tanzania na nchi nyinginezo kinakozungumzwa kiswahili
viko vingi.
 
Back
Top Bottom