Ushamba ni Nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushamba ni Nini?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by kadoda11, Oct 7, 2012.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  1.Ushamba ni kuwepo ktk onyesho flani la Bendi maarufu ya mziki wa Dansi,unampatia pesa kiongozi wa Bendi au rapa ili jina lako litajwe mpaka mwisho wa onyesho kuwa "Papaa Masaburi Makubwa" yupo ndani ya Nyumba.
  1.Ushamba ni kuwepo ktk ukumbi wa Starehe unanyanyuka kila mara kucheza aina yoyote ya muziki unaousikia.
  2.Ushamba ni kufungua chupa ya Bia kwa meno badala ya kumsubiri Mhudumu aliye kuhudumia
  3.Ushamba ni kujimiminia pombe kidogo ktk Glass ili kuisuza wakati Mhudumu alisha isuuza kwa Maji Moto kabla.
  4.Ushamba ni kwenda na Ipad ktk Harusi au Msiba unaitoa na kujifanya kupiga Picha hovyo hovyo ili kuonyesha nawe ni mmoja ya Watu wanaomiliki Ipad.
  5.Ushamba ni kuingia ktk ukumbi wa Burudani au Sherehe huku ukiwa umening'iniza Funguo nyingi za nyumbani kwako au Pikipiki ktk Suruari yako uwachanganye watu wakuone umeingia mahali hapo na Gari lako binafsi.
  6.Ushamba ni kutisha watu kwa kauli ya "Unajua mimi ni Nani'' ili wakuogope kwa kukudhania labda wewe ni Afisa Usalama wa Taifa kumbe ukweli wewe ni Getman wa nyumba ya afisa mwenye cheo kikumbwa Jeshini.
  7.Ushamba ni kujifanya wewe ni Hodari kuzungumza Kingereza kwa kupachika maneno ya kizungu ktk mazungumzo ya Kiswahili.Ukipewa dakika 20 uzungumze Kizungu pekee yake
  unatia aibu kwa kuongea What they call Broken English.
  :lol:
  Kila mtu ana Tafsiri yake kuhusu neno Ushamba.Ukiwa kama Mdau wa mambo ya Kishamba Tafadhali weka tafsiri yako Tuelimishane Ushamba ni nini?
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  kumbe jumatatu JF members wengi wanakuwa na ushamba wa kuikumbuka jumamosi na jumapili!!
   
 3. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Umekosea, ushamba ni kuvaa kata ku.ndu na kudhani kuwa Rick Ross mnuka mdomo ni baba yako au role model wako wakati he doesn't give a damn about You but the bills ($).
   
 4. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  ushamba ni kuleta thread za kimbeambea kama hizi hapa jf
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nimechekaje hapo kwenye red? wapo wengi saaan hao siku hizi wananikeraje?
   
 6. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa huwa wananikera sana
   
 7. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  ushamba ni kujipachika jina la raisi wa taifa kubwa duniani eti obama wa bongo hahahaha.:lol:
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ushamba ni wafuasi fulani wa chama cha siasa kuvaa magwanda kama wannamgambo wa jiji
   
 9. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  hapana mimi nawatetea,ushamba ni kupachika picha ofisini ya kiongozi mkubwa nchini eti ili maafisa wa T.R.A waogope kukushurutisha kulipa kodi.
   
 10. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  hahahahaha
   
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Umemaliza kila kitu. Nimecheka sana.
   
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Haa ha ha. Safi sana.
   
 13. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu obama wa bongo umeguswa ndipo. Haa ha ha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Duh!! Umeua.
   
 15. K

  Kyandaya Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwanamke kuvaa soksi na kandambili
   
 16. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  haahaha hii ikoje hii mkuu.
   
 17. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  hahaha nahakurudia tena.:becky:
   
 18. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280


  one love...!!
   
 19. d

  drmunyu New Member

  #19
  Nov 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujiita 'mi mke wa..' wakati baba ako hajawahi kupokea hata kambuzi ka supu! Na hata sura ya mkwewe haijui!
   
 20. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  aise! kumbe kwa mwanawake kujiita mke wa flani ni sifa sana!?hahahaha
   
Loading...