Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,103
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Last edited by a moderator:
Mi hata nyimbo za Kiswahili nilikuwa naimba makorokocho.
Ha! ha! ha! .....
Ken Leeeeeeeeee ......... tulibu dibu douchoo!!!!!!!!!
Bujibuji nilikuwa najua mambo haya wanaimbaga watoto tu ... kumbe hata watu wazima!!
Mkuu Buji ... hebu tupe basi na wewe ulipokuwa mdogo ulikuwa na wimbo wako gani ambao ulikuwa unauimba Kiswa-nglish! ....
.