Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa 2. Mwandu-uke 3. Kifuku-masika 4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu 5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka 6...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbwa wa jirani Mbwa wa jirani Mtaji ni wangu Hajui niliupate Amenikuta nanunua na kuuza Hajawai nipa hata mia Mbwa wa jirani wanibwekeaje mimi Mbwa wa jirani Hacha fokea mimi Mbwa wa jirani...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456 2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138 3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5 4 - Spanish (castellano, español)...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Katika Jukwaa letu la Lugha nimeweka huu uzi tusaidiane kwenye kujulishana maneno ya Kiingera ya kutumia ili walau mtu unapoandika Kiingereza usionekana kama upo kawaida sawa...
2 Reactions
4 Replies
769 Views
Hamjambo wanaJF, Hili neno chawa au Machawa Huwa najiuliza maswali mengi bila majibu!Nikiwa Mtanzania Mwenye afya ya akili timamu huwa najiuliza sana, mtu anawezaje kujiita au kuitwa Chawa!Nikiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu. Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Mwenzenu ninajongea, taratibu nawajia Kwa haya yalotokea, ya kisima nawaambia Hofu menisogelea, na nguvu zimeishia kisima nimekiacha, maji hayanyweki tena Kisima nilitumia, na mtu...
7 Reactions
46 Replies
12K Views
Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga. SIFA: 1. Ajue kuongea, kusoma na kuandika kikinga na KISWAHILI 2. Awe tayari kufanya kazi popote kwa muda wa miezi sita. 3. Umri kuanzia miaka...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Tupia ambacho google imeshindwa!! Mi naanza na hili neno[emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
10 Replies
974 Views
Dear all I hope this list will be of use to teachers and students of English. Further details of the script used to illustrate pronunciation will be provided in a future post. Have a nice...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Chapa ya Mnyama Mrefu tena mpole,rangiye ya kupendeza Rangi kama ya vipele,manyoa ya kuteleza Wale wazee wa kale,wao walipendekeza Chapa ya huyo mnyama,yafaa wakilogewa. Mwenye mwendo wa...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Habari ndugu wana JF, Naomba kufahamu kichomi kwa kiingereza kinaitwaje?? Kuna mtu anajisikia kuumwa kichomi, maeneo ya chini ya kitovu.. Shukrani sana..
0 Reactions
47 Replies
46K Views
Pelekea na Sababisha Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka ya zamani waandishi wa habari walikuwa wanatumia kiswahili kizuri sana, Waandishi wa sasa inafika wakati anaandika neno " kusubutu" !! na mhariri anaipitisha!?
6 Reactions
56 Replies
2K Views
I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom