Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Chapa ya Mnyama Mrefu tena mpole,rangiye ya kupendeza Rangi kama ya vipele,manyoa ya kuteleza Wale wazee wa kale,wao walipendekeza Chapa ya huyo mnyama,yafaa wakilogewa. Mwenye mwendo wa...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Habari ndugu wana JF, Naomba kufahamu kichomi kwa kiingereza kinaitwaje?? Kuna mtu anajisikia kuumwa kichomi, maeneo ya chini ya kitovu.. Shukrani sana..
0 Reactions
47 Replies
46K Views
Pelekea na Sababisha Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka ya zamani waandishi wa habari walikuwa wanatumia kiswahili kizuri sana, Waandishi wa sasa inafika wakati anaandika neno " kusubutu" !! na mhariri anaipitisha!?
6 Reactions
56 Replies
2K Views
I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanangu Wa faida mpo? . Kuna vitu vinafanya wakati Fulani mtu mzima utamani kurudi utotoni Ingawa ni ngumu ki nadharia (mawazo) yanaweza kukurudisha na ukajikuta Una tabasamu peke yako njiani ...
4 Reactions
44 Replies
34K Views
A thorough perusal of the Notice of Motion and the averments in the affidavit, two major grounds on which the application is based clearly comes out.
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Niliona BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kwamba "kikosi cha Gambia kingefariki" walipokuwa wakieelekea Afcon, je hapa hili neno limetumika ipasavyo? Hapa wanamaanisha kikosi kina moyo?
0 Reactions
1 Replies
432 Views
New Amaan Sports Complex kwa kiswahili itaandikwaje?
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Unakuta mataifa mengine yalioendelea jinsi wanavyojadili mambo yao kwenye mitandao ya kijamii unafurahi. Mfano wachina mtu akiweka video yake ya kuelezea kitu fulani Kwa lugha ya kichina...
6 Reactions
6 Replies
776 Views
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi wakuu Wazaramo, wakwere na wadengereko ni jamii moja katika mfanano wa lugha? Jee lugha yao ni moja au zinafanana?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu.. Naomba kufahamu hili neno "eti" huwa linamaansha nn zaid ktk sentensi kama linavyotumka na baadhi ya wanawake, hususani mkiwa mnachati... Mfano:- - Nimekumic eti -Sijala eti...
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Naomba utambuzi hapo tafadhali.
0 Reactions
22 Replies
1K Views
MASHAIRI YA SHAGALABAGALA NCHI YA AZMA ******* Nchi ya AZMA wasomi wake wanauza elimu kwa teuzi na mishahara, sina shaka na uelekeo unapoenda, Shaka ninalo namna utakavyofika unakoenda. Nguvu...
1 Reactions
4 Replies
570 Views
Hivi ilikuwaje kwenye lugha ya kiswahili mpaka mke wa kaka akaitwa "shemeji" kwa ndugu wote wa mume yaani wakiume, na wa kike wanamwita "wifi". Ila mume wa dada akaitwa "shemeji" na jinsia zote...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tofauti ya Mwizi na Tapeli ni nini?
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Back
Top Bottom