Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wajuvi nielewesheni.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
4 Reactions
19 Replies
902 Views
Niliambia hivi ★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla" ★ Nilipewa nafasi kufikiria kama ningepata...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Wakuu kwema? Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema. Lipi ni neno sahihi? Ahsanteni!
0 Reactions
11 Replies
978 Views
Nina mpenzi wangu hatuko kwenye maelewano mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili ™Hanginywe™. Nataka nijue maana yake nini ili kama ni tusi nijue.
0 Reactions
47 Replies
17K Views
Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
16 Reactions
155 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati. Ebu nijuze wana jamvi
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI. Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa. Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili? " Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani naombeni kufahamishwa, Kati ya haya maneno lipi ni sahihi?
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Baada ya Maghribi, Mitaa ya Kariakoo Nipo jijini Dar es Salama, vitongoji vya mitaa ya Kariakoo, unyounyo na rafiki yangu, tukitembea sako kwa bako, hamadi kibindoni tukajikuta tupo mtaa ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani huwa nashndwa kujua au kutofautisha kti ya neno RAIA na MWANANCHI. Hebu nipeni ufafanunuzi.
3 Reactions
40 Replies
11K Views
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake". Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa. Wajuzi...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna TV imekomalia hapa: Ni TV ya muda kidogo na manual haipo Tena. Kwa anayeweza kujua maana yake, msaada tutani please.
0 Reactions
9 Replies
851 Views
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili...
14 Reactions
72 Replies
3K Views
Je, yuko sahh au mimi ndiyo sijui??
2 Reactions
12 Replies
991 Views
Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.."
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake 1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa. 2. Kushema Chonja kubundala Huu ni sawa ule msemo mtaka cha...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka...
2 Reactions
2 Replies
490 Views
Back
Top Bottom