Huyu mbwa wa jirani ananibwekeaje mimi?

Huyu mbwa wa jirani ananibwekeaje mimi?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,306
Reaction score
11,780
Mbwa wa jirani
Mbwa wa jirani
Mtaji ni wangu
Hajui niliupate
Amenikuta nanunua na kuuza
Hajawai nipa hata mia
Mbwa wa jirani wanibwekeaje mimi

Mbwa wa jirani
Hacha fokea mimi
Mbwa wa jirani

Jirani weyee
Funga mbwa ako kengere
Mimi kubali fokewa hapana

Mbwa wa jirani
Nyoya lako lateleza
Mimi ntalitia pilitoni
 
Back
Top Bottom