Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
2 Reactions
41 Replies
46K Views
Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma...
1 Reactions
2 Replies
493 Views
METHALI NA MISEMO YA KIPARE. (VISOMA VYA CHASU) 1. Kiruke cha ibwe kimanywa ni igondwa. 2. Kitambi cha muimi ni kiumbi. 3. Ekwira ima si iti anakulie. 4. Ngoma mbiri nyika ni kintu na mlamue. 5...
2 Reactions
24 Replies
16K Views
Habarini wataalaam wa Lugha, naombeni mwenye course outline za MA Linguistics UDSM anitumie. Nipate ABCs. Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza, KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
23 Reactions
132 Replies
7K Views
Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani. Duniani ambapo watu wake wanatofautiana tamaduni, desturi na hata...
1 Reactions
6 Replies
787 Views
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa...
5 Reactions
84 Replies
4K Views
Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5. Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia...
1 Reactions
5 Replies
655 Views
Ndiyo kusema Kiswahili kimekua? Hiki Kiswahili gani cha barabara kumogoka? Wataalam wa Kiswahili mnisaidie!
0 Reactions
10 Replies
758 Views
Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuwa narafiki, lake jina Chumu. Hakuwa mnafiki, ni mtu wakukirimu. Sahibu hawabanduki, shida zao kujikimu. Kwenye buku la rafiki unaweza kukopia Zilipompata dhiki, nduki kubwa wanadamu...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Mdomo unaponena, mwili huwa mashakani. Maana hukuona, umvunjifu wa amani. Kikaa ukanong'ona, huzidi matafshani. Nauliza waadhwama, ni nini hasa uhuru?
0 Reactions
0 Replies
306 Views
SHAIRI MPENDWA UJITAFUTE 1.Ninapolileta somo, cha kwanza nawasabahi Mi Mzee wa makamo, sikiliza nawasihi Naufungua mdomo, naamini nimewahi Mpendwa ujitafute, kwa sasa hupatikani 2.Yule...
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Habari Wadau,
1 Reactions
36 Replies
10K Views
Back
Top Bottom