Neno "kama nini" lina maana gani?

Neno "kama nini" lina maana gani?

Fourier

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
218
Reaction score
76
Utasikia Mtu Anasema "TAMU KAMA NIN"
AU
"Chungu KAMA NIN" AU "Mkali KAMA NIN" AU "Mkarimu KAMA NIN"
AU "Mkarimu KAMA NIN".... N.K

Hii "KAMA NINI " Ni Kama Nini? ?? Sijui Kama Mnanielewa Apo Wadau??!

Naombeni Tulijadili Kidogo Hili Mana Hata Mimi Linanisumbua KAMA NINI...
 
Mi mwenyewe linanichanganya KAMA NINI,LOL.
 
Hii mada chakavu it's too used so far, hapa Jf .
 
Utasikia Mtu Anasema "TAMU KAMA NIN"
AU
"Chungu KAMA NIN" AU "Mkali KAMA NIN" AU "Mkarimu KAMA NIN"
AU "Mkarimu KAMA NIN".... N.K

Hii "KAMA NINI " Ni Kama Nini? ?? Sijui Kama Mnanielewa Apo Wadau??!

Naombeni Tulijadili Kidogo Hili Mana Hata Mimi Linanisumbua KAMA NINI...

Beyond comparison
 
neno 'kama nini' tafsiri yake hasa ni,mwisho kabisa au kilele,hakuna kama hilo au hicho unachokisifia,yaani tamati.
 
Unanikumbuasha kwa wasukuma na jinal walilotoa kwa ASALI YA 'NYUKI'. Amini usiamini hadi leo hawajaipatia asali jina maalumu. Kwa jinsi asali ilivyo tamu wanaiita 'BHUKE' wakimaanisha hii ni nini au hiki ni nini.
 
Asante... Kidogo Imeniingia Akilini Lakin Huku Uswazi Kwetuu Vijana Wa Vijiweni Ndio Hupenda Kulitumia Kama Nini...
 
Unanikumbuasha kwa wasukuma na jinal walilotoa kwa ASALI YA 'NYUKI'. Amini usiamini hadi leo hawajaipatia asali jina maalumu. Kwa jinsi asali ilivyo tamu wanaiita 'BHUKE' wakimaanisha hii ni nini au hiki ni nini.

nashawishika kutokuamini hasa pale ninapoona maneno zaidi ya kumi ya kibantu yana muelekeo na neno hilo la kisukuma "bhuke" na hayana uhusiano na kiulizo "nini hiki"

kihaya kwa mfano jina la asali ni "bwoki" na halina uhusiano na kuuliza "ni kitu gani hiki"?

na wasukuma wana specific maneno ya kuuliza "ni kitu gani hiki" ambayo yanaelekea kwenye "iche kinduki"?
 
Back
Top Bottom