Mwenye notes za lugha ya kifaransa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye notes za lugha ya kifaransa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by L'AMOUR, Mar 30, 2011.

 1. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana JF naomba msaada wa mtu mwenye notes za kifaransa hasa kuanzia intermediate level ili niweze kujiendeleza. Pia nakaribisha ushauri wowote utakaonisaidia katika kujiendeleza katika lugha hii. Asanteni
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi nina copy ya kitabu. Sijui utakipataje. Ni kizuri.
   
 3. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nitashukuru kujua kama naweza kutoa kopi yake please. Labda unisadie namna ya kukipata. Asante
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  upo wapi?
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Naona atakujibu kwa PM
   
 6. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  au ndio walewale wanaoleta mzaha. Pm yake hata sijaipata.
   
 8. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani mambo ya elimu hayana mzaha niko Dar, Ukonga Mombasa kama nitasaidiwa nitashukuru nimeshafanya mitihani ya awali na kwa sasa nataka nijiendeleze zaidi. Thanks Gobegobe limocha nimeiona na kujisajiri ina msaada mkubwa. Ila pia nikiwa na hard copy pia ni nzuri kwani sio kila wakati ninakuwa kwenye computer. Hard copy itanisaidia sana katika kujisomea wakati wowote maana notes kwa advanced french hazipatikani kwa urahisi. Thanks kwa wote mnaoshauri vizuri Mungu awabariki.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ushauri wangu kwa kujifunza lugha ya kigeni ni mazoezi ya kusoma na kusema (ningelikwambia kuzungumza lakini kwa kwetu ni shida kupata watu wa kuzungumza nao.

  Kwa uzoefu kusoma vitabu itakusaidia sana kujua sarufi na kupasi mitihani, lakini ili uweze kuzungumza fanya yafuatayo:
  1. Soma vitabu, magazeti au maandishi yoyote katika lugha ya kifaransa. Si lazima uelewe kila unachokisoma. Lengo ni kuuzowesha ulimi wako kutamka kwa haraka na kwa ufasaha.
  2. Wakati wa kusoma, soma kwa sauti badala ya kusoma kimya kimya. Kusoma kwa sauti kutakurahisishia hilo hapo juu.
  3. Sikiliza radio za kifaransa na iga wanavyozungumza ili kupata "tune yao".
  4. Nunu kinasa sauti (kwa sasa unaweza kutumia hata simu yako) ili wakati unapokuwa unasoma kwa sauti "ujirekodi" unachosoma, baadaye jisikilize. Mwanzo mwanzo naamini hutojipenda, lakini kadiri unavyofanya mazoezi ndivyo utavyoona unapiga hatua.
  Kila la heri.
   
 10. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante sana mammamia nashukuru kwa ushauri mzuri nitafuata mambo haya kwa kifupi nimeshafanya DELF A1,A2 na B1 lakini naona bado niko nyuma sana. Nadhani nitatafuta channel za kifaransa na magazeti ili nisome tu kama ulivyonishauri. Thank you very much
   
 11. d

  desenkoi Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunakitabu kinaitwa on y va 1-3 pamoja na cd zake vitafute,ht mm nnajifunza french,vitakusaidia..ve bok 1 +cd
   
 12. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #12
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks nitafuatilia kwenye bookshops za hapa Dar
   
 13. Msikilizaji

  Msikilizaji JF Gold Member

  #13
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  L'amour angalia Google language tool its a good tool you can use that for basics, I actually used that in communicating with a spanish vendor who sold the car I own today.

  Pia jaribu kuwa unakiongea unajua tena "practice makes perfect" hata kama wakikucheka keep on practicing.
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 15. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Merci beaucoup pour les information. Je vais faire comme vous m'explique. Ca aide comme ca.
   
 16. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nonda nashukuru sana kwa hizi links, nimepitia hii ya BBC na kufurahia kwa namna inavyotoa sauti na maandishi yake. Nafikiri hii itanipa speed ya kujua haraka. Nitazipitia hizo nyingine pia nione zikoje ila kama una wazo la kujenga zaidi nitalikaribisha. Otherwise nikushukuru sana kwa hizi link tatu hapa ni kuhakikisha niko kwenye internet na nadhani nikijiunga na club ya alliance itasaidia kwenda kufanya mazoezi zaidi. Thank you very much
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nous avons aussi une page ou on parle exclusivement en francais sur des sujets et d'autres, pour vous permettre d'ameliorer le style parle et ecrit. c'est "peut-on savoir qui sur JF parle francais", Jukwaa la lugha.
  Bienvenue sur notre page francophonie JF!
   
 18. k

  kelvyn Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah na mimi ukizipata nipm ninajifunza ila sipati watu wa kuchonga nao french mpaka niende kule alliance....
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu kwa kuwa upo huko maeneo ya Mumbasa,nenda hapo shule ya sekondari air wing.uongee na mwalimu wa french atakupa msingi mzuri.anaweza hata akawa anakufundisha.uzuri wa hao wanajeshi hawana longolongo.utapata kila ukitakacho.
   
 20. Mzee_2015

  Mzee_2015 JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2015
  Joined: May 19, 2015
  Messages: 255
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  bonjour Roulette. comment retrouver la page JF parlé francais.Je suis interresé car je dois donner des cours privés à des Professionnels.je voulais savoir que la page peu aider .Merçi
   
Loading...