pkjag
Member
- Jan 2, 2015
- 85
- 36
Hebu niwaulize nimeshuhudia utumizi wa mnyambuliko wa vitenzi ambao mwalimu wangu aliniambia sio sahihi. Hivi kukujaga ama kukujanga ni sahihi kwa sababu lugha nyingi za kibantu zina mfumo huo huo wa kunyambua vitenzi lakini kiswahili hakuna ama hauruhusiwi na waandishi wengi ambao nimesoma vitabu vyao na hakuna mnyambuliko wowote kama huo. Ila mfumo huu ni kawaida sana katika mazungumzo na je ulitokea wapi kwanza, kwasababu wakenya hutumia -nga na watz wanatumia -ga?