Japan meglev Train 603km/saa Kitila Mkumbo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nchi ya Ujapani imefanya majaribio ya treni inayopelekwa kwa kutumia nguvu za Sumaku na wameweza kufika Mwendokasi wa 603km/saa na hawaongei Kiingereza, siajabu wewe na baba yako mnajua kiingereza kuwazidi Wajapani na kimetunufaisha na nini zaidi ya majungu na Ubinafsi tu, .... wewe!
 
Nilisikitika sana kusikia Prof. anashindwa kujenga hoja, nilijiuliza mara kadhaa huenda Prof. Mkumbo alisahau mjadala ulikuwa live na hakujua audience wake walikuwa wa aina gani. Nchi nyingi zimeendelea duniani siyo kwa sababu ya kujua kiingereza, sidahni kama unahitaji kiingereza kuwa mbunifu au mgunduzi, vinginevyo alikuwa anaongelea plagiarism. Hii inaonyesha ni namna gani tumetawaliwa hadi kwenye fikra na akili zetu, we are not independent at all. Pamoja na kuwa kujua lugha zaidi ya moja ni muhimu lakini haina maana kuwa ili kuendelea unahitaji kujua kuogea kiingereza
 
Maprofesa waliokulia kwenye sera za kijamaa huwa wana mawazo mgando kama akili za kondoo

Mbona kama umeogea kinyume? Wasomi/maprofesa waliokulia kwenye sera za kibepari huamini kila kilichoasisiwa/kinachofanywa na mebepari ni sahihi hawafikiri,hawahoji tofauti na wale waliokulia kwenye ujamaa ambao hupima hicho wanachohubiriwa na ujamaa waouamini. Fuatilia ukiwa na 'neutral perception ' utabaini.
 
Mtu akishakuwa hatuafulan anaamini kile akiwazacho ndochu tu hakuna lingine, ukidharau chako jua chawengine nivigum kukunufaisha, kiswahili kinatosho
 
Wajapan wameendelea sana katika teknolojia kwenye nyanja zote - electronics, transport,medicine etc, na hawana time
na kiingereza.Ila wameikuza sana lugha yao ili kukidhi mahitaji ya teknolojia na maendeleo kwa ujumla. Baada ya kusema hayo tusisahau kwamba wajapan wanafanya kazi kwa bidii sana.Haendi kupumzika/kulala mpaka aridhike amemaliza alichoazimia kukifanya siku hiyo.

Siri ya maendeleo makubwa ya wajapan ni uchapa kazi wao si uwezo wa kutamka moral na mural.
 
Nchi ya Ujapani imefanya majaribio ya treni inayopelekwa kwa kutumia nguvu za Sumaku na wameweza kufika Mwendokasi wa 603km/saa na hawaongei Kiingereza, siajabu wewe na baba yako mnajua kiingereza kuwazidi Wajapani na kimetunufaisha na nini zaidi ya majungu na Ubinafsi tu, .... wewe!
Wale hawana mchezo... Ukifisadi wana wewe.... Kinachotuharibia sisi ni kubebana... Si unaona hata suala la madawa ya kulevya huko Indonesia baadhi yetu eg. wiseboy
Wanamlalamikia Raisi wa huko kwa kuwauwa wale wauza unga. Kwa hiyo ishu siyo kiingereza wala Kijapana, bali jinsi mnavyoyaendesha mambo yenu
 
Back
Top Bottom