lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Hivi huu usemi kuwa BOSI HANUNIWI una maana gani? Hata leo asubuh nimesikia mtu akisema hivi.Jamani anayejua zaidi atujuze.
We lukelo sakafu tuondoleee vi Thread vyako uchwara hapa.
Usinyee kambi kabla hujajua uendako,,
Mamba hakojolei anapolala!
mkuu fafanua vizuri
Hivi huu usemi kuwa BOSI HANUNIWI una maana gani? Hata leo asubuh nimesikia mtu akisema hivi.Jamani anayejua zaidi atujuze.