pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Sep 3, 2015 #1 Naomba kujuzwa maana ya usemi , SOTEA GOMBA. Karibu kwa majadiliano
chameleon JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 555 Reaction score 170 Sep 20, 2015 #2 Au ulitaka kuulizia "sotea gamba"?
K Kifyatu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,382 Reaction score 3,224 Sep 20, 2015 #3 pepim said: Naomba kujuzwa maana ya usemi , SOTEA GOMBA. Karibu kwa majadiliano Click to expand... SOTEA = kusota au kujipangusa baada ya haja kubwa. GOMBA = mgomba au mdizi. Majani au sehemu ya mti wake. Maana: Kwa sababu sehemu yoyote ile mbichi ya mGOMBA huteleza, ukiitumia kusotea hutaweza kuuondoa uchafu (kinyesi). AU, Mbinu au njia unayoitumia kutatulia tatizo lako haifai.
pepim said: Naomba kujuzwa maana ya usemi , SOTEA GOMBA. Karibu kwa majadiliano Click to expand... SOTEA = kusota au kujipangusa baada ya haja kubwa. GOMBA = mgomba au mdizi. Majani au sehemu ya mti wake. Maana: Kwa sababu sehemu yoyote ile mbichi ya mGOMBA huteleza, ukiitumia kusotea hutaweza kuuondoa uchafu (kinyesi). AU, Mbinu au njia unayoitumia kutatulia tatizo lako haifai.
pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Oct 20, 2015 Thread starter #4 Vizuri sana Kifyatu...... Umetisha hilo Ndio jibu sahihi