MSIWATUSI WAHENGA.
1)Kama hupendi jinyonge,Ujumbe nakutumia
Ukwingie ukugonge,ukipenda weza lia
Na useme na uchonge,tungo sitoifumbia
Msiwatusi wahenga,kwa zo picha za ajabu.
2)Leo nawapa...
Habari za leo. Napenda kuwapa rai ndugu zangu.
Najua sisi sote humu ndani ya hili *_kundi sogozi_* tunamiliki _*simu tamba*_. Tuweni makini kwani kutumia _*sikanu*_ zetu _*mkondoni*_ kunaweza...
Msaada; Nini maana ya neno au kikundi cha maneno UBWABWA WA SHINGO kwani Mara kadhaa nimewahi kulisikia pasina kujua maana yake
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
1. Mafunzo kazini – on job training
2. Mafunzo tarajali – pre-service training
3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training
4. Mhafidhina – conservative person
5...
Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona...
SHIKAMOO inamaana gani kwenye salam?
maana nimeona tofauti nyingi kwenye lugha tofautitofauti salam inapotoka huja au hujibiwa kama ilivopokewa.. mfano; assalaam aleykum.. hujibiwa waaleykum au...
MBINGU, ANGA, JUA, NA UUMBAJI.
Rejea mada yangu juu ya vitu sita ambavyo havikuumbwa na MUNGU.
Wakati wakichangia mada yangu juu vitu sita ambavyo Mungu hakuviumba, watu kadha wa kadha Jamii...
Kwa wale wajanja wenzetu ambao lugha haziwapigi chenga aidha
-Kiingereza
-Kifaransa
-Kihispaniola
-Kireno
-Kichina
-Kiarabu
-Kikorea
Na mengineyo naomba mnisaidie kutafsiri baadhi ya nukuu hizi...
1. Mafunzo kazini – on job training
2. Mafunzo tarajali – pre-service training
3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training
4. Mhafidhina – conservative person
5...
Maneno haya mawili yamekua yakitumika kwa kuingiliana. Mfano wathibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa nk. Wengine wanatumia wadhibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa. Je kipi...
Màmboz wakuu humu ndani,habar za mida hii.
Kwa wale wenzangu na mimi ambao bado ni wapenzi WA clouds redio Bila Shaka mtakuwa mmeshawahi kusikia ka kipind flan ambako huwa kanachomekewa asubuhi au...
Haya si Mashindano
Dr. Bigwa wa maandamano
Wakashindwa mapatano
Dr akayaaga Mashindano
Dr. Naye akajiuzulu
Mafisadi Msululu
Wakiitaka Ikulu
Udini kwenye hekalu
Ikawa ya Mmoja mjinga
Wanaogopa...
*SANAA NI NINI ?* Kwa maelfu ya miaka sanaa imekuwa ikiendelea kushika uzito katika jamii nyingi za wanadamu huku ikiwa ni msaada katika jamii tofauti...