Jukwaa la Historia

On JF:

NINAVYOMKUMBUKA RAIS ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024) Toleo hili la March 1993 linalomwonyesha Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu katika jarida la...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia; Ingewezekana kama tungepata uhuru...
0 Reactions
1 Replies
443 Views
GUNDU LA ADDIS ABABA Nina bahati mbaya na Ethiopia. Hili la sanamu halinishangazi Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas. Mwaliko wangu...
0 Reactions
7 Replies
889 Views
"MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF" Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi...
3 Reactions
5 Replies
890 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama' wengine wanadai 'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa' "Vijiji vya ujamaa lilikuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU ALI ABDALLAH KAZUA Mwaka wa 2021. Utasema jana. Nilikuwa nikikaa na Kazua tunakumbushana mengi sana ya zamani. Kazua siku moja kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu...
1 Reactions
0 Replies
580 Views
SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA PILI Katika mazungumzo yetu Starlight Hotel, Maalim Seif ni kama vile hakuweza kujiaminisha kuwa kweli Tanzania Bara...
0 Reactions
1 Replies
671 Views
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA KWANZA Miongo mitatu imepita, yaani miaka 30. Huwa napita Barabara ya Titi Mohamed nikitokea Mnazi Mmoja nakwenda...
3 Reactions
1 Replies
559 Views
Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series) https://m.youtube.com/watch?v=zfNQ1MqEBVc We had the pleasure to sit down with Namibian Prime Minister and former anti-apartheid...
1 Reactions
0 Replies
515 Views
Wanaukumbi, Nadhani itapatikana faida kwa kumkumbuka Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru. Tumsome Dk. Kyaruzi tuwajue mashujaa wetu waliosahaulika. DK. VEDASTO KYARUZI DAKTARI...
7 Reactions
185 Replies
18K Views
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA? Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa...
9 Reactions
130 Replies
28K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHABOMOA NYUMBA ILIPOASISIWA TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION (TANU) CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAVUNJA NYUMBA ILIPOANZISHWA TANGANYIKA AFRICAN ASSOCIATION NA KUASISIWA...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
https://youtu.be/Quxmi99MjhE Aisha ''Daisy'' Sykes katika makala ''Abdul Sykes Nimjuaye'' aliyoandika katika kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake Abdul Sykes aliyefariki mwaka wa 1968...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
https://youtu.be/FxUtFHgXxDw ZIMA MOTO KATIKA UBORA WAKE Nimeikuta hii video mtandaoni na nikaiangalia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine nilikuwa nacheka peke yangu. Kwa nini nacheka...
2 Reactions
5 Replies
834 Views
Naweka hapo chini makala za historia ya Kilwa nilizopata kuandika katika nyakati tofauti katika kupigania uhuru wa Tanganyika: ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…