Jukwaa la Historia

On JF:

Mwaka 1995 ndiyo mwaka ambapo vyama vingi vilianza nchini Tanzania, lakini ni mwaka huu ambapo mwanachama wa CCM na aliyekuwa waziri katika serikali ya awamu ya Pili alipoamua kujiondoa CCM...
1 Reactions
44 Replies
15K Views
Serikali inatia aibu. Mizani moja kibaha ni mbovu. Malori yameziba njia toka asubuhi hakuna kuingia wala kutoka dar. Kichekesho ni kwamba kuna askari wa usalama barabarani wengi lakini wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"TUMERUHUSU Walanguzi na Wahujumu Uchumi kuongoza nchi. Wananchi wamefika mahali ambapo wanashindwa kutofautisha kati ya viongozi wa chama (CCM) na Serikali na Walanguzi na Wahujumu uchumi wa...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
binafsi napenda sana kufuatilia historia lakini sijajua bado ni eneo gani huyu mwanaharakati alizikwa, na kama aliacha watoto na kama hao watoto bado wako hai
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Niliwahi sema kwa kuuliza swali; kwamba tutegemee Bunge gani kama 90% ya wabunge wa CCM walipatikani kwa mizengwe na Rushwa? Kwamba wataenda kumlipia nani fadhila za kuwa mbunge, mwananchi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena wana Jamii forum, Ingawa tupo katika karne ya 21, ninaridhia kabisa kusonga mbele kimaendeleo kama taifa. Hatutegemei tena kukutana na matatizo ya kunyanyasana kimawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Rais wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere "MSHAHARA wangu ni Shilingi elfu tano kwa mwezi. Shilingi elfu tano katika nchi masikini. Masikini anayepata shilingi 200 kwa mwezi...
9 Reactions
81 Replies
14K Views
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE 1922 - 1999 I AM QUITTING FROM ACTIVE POLITICS “I am not resigning but, I am quitting, and I have decided to do so because, I feel time is in hand for...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Salamu kwa kwa wana JF wa jukwaa la historia. Napenda kujua historia ya mji huu ulioko mpakani mwa nchi ya Malawi katika mkoa wa Mbeya ambao ni maarufu sana kwa kilimo cha mpunga na kakao. Jina...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Case Study from Tanzania presented at the Pan Africa Land Grab Hearing. - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Please note how the migration of People takes place in this World, Sasa kama Wazigua, Wamakua, Wanyasa, Wangindo, Wayao, Wasambaa, Wapokomo, Mijikenda and other Bantu clans, Walitoka Somalia...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MAASI YA KIJESHI 1964: MHUSIKA MKUU ALIKUWA NANI? Na William Shao “NIA yake (Nyerere) iliyojaa busara ya kuendelea kulijenga taifa inaonekana inaanza kueleweka kwa watu wake (Watanganyika)...
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Jamani kwa mliotaka kujua historia ya rwanda na haya yanayotokea someni hapa kwa ufupi japo kwa watakaokuwa wanajua zaidi nitaomba waboreshe thread. Wahutu,watusi na jamii ndogo ya watwa ndio...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Kwa wapenda wa historia Sote tunayakumbuka majina kama vile Filbert Bayi na Nyerere. Isipokuwa tofauti zao kubwa ni hii wakati Fibert Bayi anavunja rekodi za mbio na kuipatia sifa kem kem tz...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Huyo pembeni kama ni mbunge fulani hivi kwa sasa kama sikosei!
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Paul Kagame (born October 23, 1957) is the current President of the Republic of Rwanda. He rose to prominence as the leader of the Rwandan Patriotic Front (RPF), whose victory over the incumbent...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
nina shida na movie ya second world war kama kuna mwenye nayo naomba aniwekee niidownload.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF salam,kunakuwaga na tetesi Mwl JK Nyerere alipofika UK kutafuta kupewa uhuru wa Tanganyika alimkuta mmoja wa wafalme (mangi)wa kichaga nae akitafuta uhuru ila yeye alitaka wa Kilimanjaro...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Afghanistan February 20, 1919: Nasrullah Khan overthrows Habibullah Khan February 28, 1919: Amanullah Khan overthrows Nasrullah Khan January 17, 1929: Habibullah Kalakani overthrows Inayatullah...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Back
Top Bottom