Jukwaa la Historia

On JF:

JINA la Milambo ni maarufu sana hapa Tanzania na katika eneo lote la ukanda wa Afrika Mashariki. Lakini ni watu wachache wanaoweza kueleza Milambo ni nani na alifanya nini hadi kustahili sifa...
8 Reactions
39 Replies
47K Views
𝗛𝗶𝘀𝘁𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗭𝗮 𝗡𝗼𝘁𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association...
0 Reactions
3 Replies
528 Views
Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa. Kwa...
10 Reactions
12 Replies
944 Views
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja. Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
2 Reactions
3 Replies
331 Views
Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s. Pata pale aipate.
0 Reactions
2 Replies
616 Views
VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwakweli kiswahili kinazidi kupaa. Zamani mtu alikuwa akisafiri kwenda Dar alitumia msemo naenda BONGO. Hivi sasa hata mtu anaeishi nje ya Dar anasema yeye mbongo pengine anamaanisha yeye M-TZ...
0 Reactions
32 Replies
20K Views
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers...
4 Reactions
3 Replies
468 Views
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina...
7 Reactions
152 Replies
6K Views
Unajua Sewahaji alikuwa ni nani? Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha hospitali ya Muhimbili, Ingawa baadhi ya walioathiriwa na elimu ya kikoloni kwa kiwango kikubwa hushikilia kwamba Muhimbili...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
https://youtu.be/DAbyzXtDJ74?si=0kQpwGaJxu1kgv85
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Nimepokea hivi punde kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Hashil Seif Hashili mmoja katika wazalendo walioshiriki katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Naomba niweka hapo chini...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI Kichwa cha.habari kinajieleza. In Shaa Allah... Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’ Nafungua nawaona...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
HUYU NDIYE CHIFU WA KABILA LA WASAFWA MBEYA, CHIFU ROCKET MWASHINGA Wasafwa ni kabila kutoka eneo la milima ya mkoa wa Mbeya, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000...
1 Reactions
13 Replies
13K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
20 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom