Jukwaa la Historia

On JF:

Wakamba ni kabila la watu wa Kenya wanaoishi Ukambani, eneo lililopo kati ya Nairobi, Voi, Mlima Kenya, na Mlima Kilimanjaro. Wakamba ni kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya. Lugha na Utamaduni...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu...
0 Reactions
4 Replies
534 Views
Jumanne, Januari 14, 1958 United iliichapa Red Star Belgrade mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Ulaya kwenye uwanja wa Old Trafford. Jumatatu, Februari 3, 1958 Kikosi...
6 Reactions
14 Replies
951 Views
Bahari ya Chumvi, mojawapo ya maajabu mazuri zaidi ya dunia, ni ziwa la chumvi ambalo liko kwenye sehemu ya chini kabisa ya Dunia. Mpaka wa Yordani kwa Mashariki, na Israeli na Ukingo wa...
24 Reactions
81 Replies
4K Views
Historia ya Kweli ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda KILIO CHA MIFEREJI YA DAMU IENDAYO ETHIOPIA Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu...
99 Reactions
2K Replies
497K Views
Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
PICHA HII ILISTAHILI SANA KUWAPO CCM MAKAO MAKUU DODOMA Picha hiyo hapo chini ina historia nzuri ya Dodoma kwanza kwa kupatikana kwake. Nilipokuja Dodoma kwa mara ya kwanza katika miaka ya 1980...
1 Reactions
0 Replies
503 Views
Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo? Sawa weusi ndo...
0 Reactions
5 Replies
653 Views
MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961) Niko Tabora toka jana usiku. Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977...
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza Wanaosema waingereza walikuwa...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Hayati Luteni Jenerali Mayunga Mti Mkavu Wakuu taarifa za uhakika nilizopata kutoka nchini India kuwa mpiganaji wetu shupavu na kiongozi mwadirifu, Meja Gerenali Silas Mayunga (Kushoto pichani...
13 Reactions
165 Replies
85K Views
https://www.youtube.com/live/DbZXc2xgRBw?si=a-oNRfgTi6lXcL_v
2 Reactions
0 Replies
350 Views
. Aliitwa Phillis, kwa sababu hilo lilikuwa jina la meli iliyomleta, na Wheatley, ambalo lilikuwa jina la mfanyabiashara aliyemnunua. Alizaliwa Senegal. Akiwa na miaka kumi na tatu, tayari...
3 Reactions
2 Replies
546 Views
JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI 8 MARCH 2024 ''Serikali ya kikoloni haikutaka sisi machifu tuwe katika siasa hasa kuisaidia TANU. Hata hivyo tukiwa wananchi na viongozi wa wanchi wanaotaabika chini ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimevutiwa sana kujua Historia ya mwanamke shupavu ambaye alikuwa ni mtawala wa kutoka katika kabila la waha wa Jamii ya kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu. Mwami Theresa Ntare (1922 -...
16 Reactions
148 Replies
60K Views
30/12/2005 – JK alimteua Edo (Mlutheri) kuwa Waziri Mkuu. This was nothing new as Fredrick (Mlutheri) alishakuwa PM for 10 years. JK alitaka Edo (Mprotestanti) awe mrithi wake wa urais. JK...
20 Reactions
38 Replies
9K Views
Nyerere: Mzanaki Mwinyi: Mndengereko? Mnyamwezi? Mkapa: Mmakua Kikwete: Mkwere Wazanzibari weusi nao sometimes wana asili ya sehemu fulani au kabila fulani. Mfano kuna wazanzibari ambao...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom