Tanzania ni Nchi ambayo husifika mno kwa ukombozi wa Nchi mbalimbali za Afrika, hasa zile zilizo Kusini mwa Bara hili Masikini zaidi Duniani. Uthibitisho juu ya Ukindakindaki wa Nchi yetu juu ya...
KATIKA moja ya ahadi kumi za mwana-TANU; kila mwana-TANU alilazimika kuapa kuwa atakuwa tayari kwa namna yoyote ile kupambana na hatimae kuwashinda adui umasikini, maradhi na ujinga. Mwalimu...
Wandugu.
Mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakamata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu...
Wadau,
Naomba mnisaidie hili swala, Hivi Zanzibar kuna makabila kama ilivyo Bara? Na kama yapo ni mangapi.?
Kuhusu Lugha Ukanda wa Pwani.
Unaposema kabila katika uwanda wa mwambao wa pwani...
Jana ktk kongamano la muungano mchokoza mada ambaye ni makamo mwenyekiti wa Udasa alidai miaka 2000 iliyopita Zanzibar ilikuwa tupu bila wakaazi.Ndipo baadae wamakonde, wazaramo na wasukuma...
Ndugu, mwenye kujua historia anisaidie kujua mambo ya fuatayo kwa ufupi,
Hasa kama kuna causes, effects or archievements bila kusahau background za vitu vifuatavyo:-
I. Pan-Africanism movement...
[emoji182]Sarah Saartijie Baartiman:Ni mwanamke aliyezaliwa mwaka 1789 nchini afrika kusini.Kutokana na kujaaliwa umbo,kwa kuumbwa kuwa na umbo zuri(physical shape) wazungu waliamuwa kumtumia kama...
Habari wakuu,
Nmeweka LINK hapa chini ya maelezo juu ya hili.
NCHI SALAMA IKIWA VITA YA III YA DUNIA ITATOKEA
NCHI SALAMA IKIWA VITA YA III YA DUNIA ITATOKEA
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd Amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata...
JE DHANA YA RASTAFARI NI UTAMADUNI WA AFRICA?
Sehemu ya I
NA:Comred Mbwana Allyamtu.
Wengi wetu tunawaona vijana na watu wengi mitaani wakijinasibisha na utamaduni wa ufugaji wa nywele...
TUNAJIFUNZA NINI KUTOKA IVORY COAST??
Huyu anayevutwa na Askari sio kibaka, sio mwizi, sio mfuasi wa chama cha upinzani ambao wengi wamezoea kuonewa bila sababu. Huyo ni Rais wa nchi. Ni Rais...
Vladimir Vladimirovich Putin alizaliwa Saint Petersburg wakati huo ikijulikana kama Leningrad, October 7, 1952. Ni rais wa Urusi kwa sasa tangia May 7, 2012. Alikuwa waziri mkuu kuanzia 1999...
Moyo unaniuma niwakumbukapo babuzetu tunaumia tunasikitika wasaka tonge wanatudhalilisha wametuuza Tanganyika Leo inatukanwa dini yetu asili yeti ivi kuwa waarabu imekua kosa mbona wao wamakonde...
Pemba ni kisiwa kinachojulikana kwa umaarufu kama "al'jazeera al'khadra", yaani "kisiwa cha kijani" kwa lugha ya Kiarabu; ni kisiwa kinachoelea mashariki ya pwani ya Afrika kwenye Bahari ya Hindi...
Elizabeth I wa Uingereza
Malkia Elizabeth mnamo 1585
Elizabeth I wa Uingereza (7 Septemba 1533 - 24 Machi 1603) alikuwa malkia wa Uingereza kuanzia 1558 hadi 1603. Alikuwa mwanamke wa tatu...
Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na marafiki ili uifurahie Siku ya Wajinga duniani.
Si wewe tu, hata kampuni, taasisi na vyombo vya habari vya kimataifa...
Huo hapo juu nii ukurasa mmoja kutoka shajara yangu ya mwaka wa 1995. In Shaa Allah tutarejea katika niliyoandika katika ukurusa huo miaka 22 iliyopita. Kwa sasa hebu tuangalia haiba ya siasa ya...
Wana Jf swala ka Roma kupotea unaweza ukahisi na kupata jibu la haraka haraka maana huhitaji kuambiwa.
Tanzania ni nchi ya watanzania wote sio ya matabaka au watanzania wachache.
Nina maswali...
Wana JF
Naomba niwasilishe ombi kwa serikali yangu kuwa kuanzia leo wahakikishe kila askari ana kitambulisho ili amridhishe mwananchi kuwa yupo kazini na aje na mjumbe wa eneo husika vinginevyo...