johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,124
- 164,525
Jana ktk kongamano la muungano mchokoza mada ambaye ni makamo mwenyekiti wa Udasa alidai miaka 2000 iliyopita Zanzibar ilikuwa tupu bila wakaazi.Ndipo baadae wamakonde, wazaramo na wasukuma walivamia visiwa hivyo na kuweka makazi.
So akasisitiza Muungano hauwezi kuvunjika kutokana na historia hiyo, na kwamba mkataba wa muungano yale ni makaratasi tu.
Chanzo: ITV
My take: Waziri wa SMZ Hamad Rashid aliwahi kuliambia BMK kwamba Zanzibar ni pande la udongo lililomeguka kutoka Tanganyika miaka mingi iliyopita, jana baada ya mdahalo nimeanza kumuamini.