Je ni kweli Idd Amin alikuwa anateka maadui zake, anawakata kichwa, anaweka kwenye Friji?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,133
25,873
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?

Kwamba kipindi cha idd Amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?

Wajuzi mtufahamishe
 
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?

Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?

Wajuzi mtufahamishe
http://www.monitor.co.ug/SpecialRep...ge--and-how-Jinja--Tororo-fell/688342-2302304
upload_2017-4-11_15-40-40.jpeg
 
Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujinga
 
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?

Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?

Wajuzi mtufahamishe

Zilikuwa propaganda za chuki tu hizo.
 
Weka hizo video zake za hatari tuone hapa, kinakushinda nini? Usituwekee cinema tu.

I
Acha ushamba....!kumbuka wkt ile technogy ya video ilikuwa hadimu.....!

Kama aliweza kuteka watu na kuwapakia kwenye tipa na kwenda kuwamwaga mtoni,nimesahau kdgo jina la mto,angeshindwa nini kukata vichwa vyao akiwa tiari ashawaua....

Na ukisubiri ushahidi wa video za Iddy Amin humu utakaa sana kijana.
 
Hakuwahi kumuua RAIA wake wala kupakia na kuwatosa mtoni, wala hakuwa Joka (nduli) na wala hakuchokoza vita na Tz.Bali hakuwahi kutamani vita na Tz.shida inayofichwa ni Yale maneno (SIWEZI KAA MEZA MOJA NA MUUAJI) Yalio ongelewa na aliekuja kushinda vita ya 1978; hali Yale maneno yalisemwa 1972; baada ya mapinduzi ya Uganda yaliomuondoa rafiki wa Nyerere Milton Obote madarakani. Nae Jk akawa anamuhifadhi Obote mbaya wake na Amin. Muhimu kukumbuka.hapa ni kuwa maneno (sikai meza moja na muuaji) yalitamkwa na MTU ambae makamu wake.alipata nchi Kwa mapinduzi yaliomwaga Damu klk mapinduzi yeyote Kwa.ukanda huu Kwa wkt ule (Karume) tuliaminishwa kwamba.vt ile.ilipiganwa.na kila mmoja wetu.Kwa njia.yyt. Nakumbuka majarida.ya.HAMIE RAJABU na wenzie.Kwa.picha.kutisha.za.Idd.Amiin Dadaa, Nduli,.fashist,.Jokakuu............, Nimeyakumbuka
 
Utekaji, utesaji na mauaji wakati wa utawala wa Idd Amin ni suala ambalo liko kwenye kumbukumbu (living memory) ya Watanzania wengi.

Afisa wa Idd Amin aliyeongoza kikosi cha utekaji, utesaji na mauaji wakati huo alikuwa Brigadier Isaac Malyamungu.

Waliolengwa zaidi kushughulikiwa na Malyamungu walikuwa maofisa wa jeshi, wanasiasa, maafisa wa serikali pamoja na viongozi wa dini walioshukiwa au kutuhumiwa kuupinga utawala wa Amin.

Tofauti na utesajii unaodaiwa kufanyika hapa nchini, huko Uganda mara nyingi utesaji na mauaji vilikuwa unafanyika hadharani ili iwe "funzo" kwa wengine. Pia udhalilishaji ulikuwa ni wa kutisha. Wanaume walikuwa wanakatwa sehemu za siri na kulazimishwa kutembea barabarani wakizipepea!

Mauaji yalikuwa yanafanyika kwa kuwalaza watuhumiwa barabarani na kifaru cha kijeshi kupitishwa juu yao. Na mara nyingi hii kazi alikuwa anaifanya Malyamungu mwenyewe.

Tofauti na hapa nchini ni kwamba wakati huo Uganda ilikuwa inaendeshwa kijeshi; bila kufuata katiba wala sheria. Hivyo, watu kutekwa, kuteswa na "kupotezwa" hapa nchini kwenye mazingira ya kuwepo kwa katiba (tena inayozinatiai haki za binadamu) na sheria ni jambo ambalo halipaswi hata kufikirika.

Historia ni mwalimu mahiri. Hakuna utawala wowote katika historia ya dunia uliofanikiwa kwa kutumia njia hizi chafu.
 
Zilikuwa propaganda za chuki tu hizo.
Tena inasemekana IDD AMIN alikuwa ni swala tano..muislam safi kabisa...mwaka 1978 alisaidiana na watekaji wa ndege wa kipalestina.. Walilazimisha ndege iliyokuwa inakwenda israel inatokea france..kama sijakosea....ikiwa na waisrael kibao..kutua UGANDA na KUWATEKA WAISRAEL waliokuwa wakienda kwao..na kushinikiza SERIKALI YA ISRAEL IONDOKE UKANDA WA GAZA....baadae WAISRAEL WAKAJA KUWAKOMBOA WATU WAO....wakiongozwa na KAMANDA NETANYAU.....hata ktk vita vya kagera AMIN alikuwa anasaidiwa na LIBYA na baadhi ya inchi za kiislam..na huku tanzania tukisaidiwa na wagalatia.. Kumpiga amin...na hata kukimbia alikimbilia saudi arabia..AMIN alikuwa muislam safi kabisa...asiye na shaka...tuliimbishwa mashuleni NDULI AMIN...JOKA KUU..majina yote mabaya alipewa...AMIN...
..nina uhakika angekuwa kama tulivyokuwa tunaaminishwa kama ni MUUAJI ASINGEPATA SUPPORT YA WAISLAM...TENA INASEMEKANA zilikuwa PROPAGANDA ZA MSALABA(roman Catholic) ndy viongozi wengi wa east africa walikuwa ROMAN CATHOLIC.. WAKATI ULE...ndy WALITAKA wamuondoe UGANDA.. KISA GADAFI alitaka kuweka chuo kikuu cha KIISLAM PALE UGANDA... WAKATI wagalatia wenyewe walishapanga yao...na alishaanza kujenga CHUO CHA KIISLAM.. GADAFI akakimalizia baada ya AMIN KUKIMBIA UGANDA...
 
Acha ushamba....!kumbuka wkt ile technogy ya video ilikuwa hadimu.....!

Kama aliweza kuteka watu na kuwapakia kwenye tipa na kwenda kuwamwaga mtoni,nimesahau kdgo jina la mto,angeshindwa nini kukata vichwa vyao akiwa tiari ashawaua....

Na ukisubiri ushahidi wa video za Iddy Amin humu utakaa sana kijana.
aisee huyo ni bibi kifimbo cheza sio kijana
 
Tena inasemekana IDD AMIN alikuwa ni swala tano..muislam safi kabisa...mwaka 1978 alisaidiana na watekaji wa ndege wa kipalestina.. Walilazimisha ndege iliyokuwa inakwenda israel inatokea france..kama sijakosea....ikiwa na waisrael kibao..kutua UGANDA na KUWATEKA WAISRAEL waliokuwa wakienda kwao..na kushinikiza SERIKALI YA ISRAEL IONDOKE UKANDA WA GAZA....baadae WAISRAEL WAKAJA KUWAKOMBOA WATU WAO....wakiongozwa na KAMANDA NETANYAU.....hata ktk vita vya kagera AMIN alikuwa anasaidiwa na LIBYA na baadhi ya inchi za kiislam..na huku tanzania tukisaidiwa na wagalatia.. Kumpiga amin...na hata kukimbia alikimbilia saudi arabia..AMIN alikuwa muislam safi kabisa...asiye na shaka...tuliimbishwa mashuleni NDULI AMIN...JOKA KUU..majina yote mabaya alipewa...AMIN...
..nina uhakika angekuwa kama tulivyokuwa tunaaminishwa kama ni MUUAJI ASINGEPATA SUPPORT YA WAISLAM...TENA INASEMEKANA zilikuwa PROPAGANDA ZA MSALABA(roman Catholic) ndy viongozi wengi wa east africa walikuwa ROMAN CATHOLIC.. WAKATI ULE...ndy WALITAKA wamuondoe UGANDA.. KISA GADAFI alitaka kuweka chuo kikuu cha KIISLAM PALE UGANDA... WAKATI wagalatia wenyewe walishapanga yao...na alishaanza kujenga CHUO CHA KIISLAM.. GADAFI akakimalizia baada ya AMIN KUKIMBIA UGANDA...
mmmh!! kazi ipo sio kwa kumpamba hivyo.
 
Hapa ndipo inapothibitiska kwamba dini ya majambia ni dini ya mashetani na mamwagaji damu. Na ili mtu aifuate lazima awe pumvu kubwa.
 
Kwani amin alipigwa alikuwa na kosa gani?ni chokochoko za wagalatia. Kumuondoa...ww fuatilia viongozi waliokuwa madarakani wakati huo..kenya
.tanzania..uganda wote walikuwa roman Catholic... Na kisa ni kujengwa chuo cha kikuu cha KIISLAM.. Kisa hakuna..sasa kuna muuaji akajenga chuo cha dini?
 
Wewe ulikuwa hujazaliwa. Mimi sihitaji kufuatilia kwa kuwa nimekwenda uganda kumfurusha. Nimeingilia mtukula tunatembea mitoni na visu mamba nje nje. Nimekaa juba mwaka mmoja nikarejea hapa.

Unataak kuleta mambo ya kike barazani pa wanaume? Huyo mungu wenu bila shaka tawapa thawabu kubwa sana kwa kujitwika kazi yake ya uwongo!.

Siwezi kusema mengi kwa kuwa niko kwenye kiapo. Lakini huo ujinga wenu ishia huko huko vibarazani.

Mijitu mingine inaleta hapa hadith iza kwenye vijiwe vya kahawa wakti wanaume tumepigana msitu mnene hadi kupoteza mapeki!

Waganda gani wamekuambia wanajuta kwa idi amini? Bila shaka weweni punguani na wote wanaokusupot ni wale wale wabeba majambia.
 
Si kweli hiyo ilikuwa ni propaganda ya maadui wa utawala wa Idd Amini mpaka hii leo waganda wanajuta kumpoteza Idd Amini ni story ndefu sana
Wana miss kipi/yapi kutoka kwa Nduli Idd Amin Dada?

Msaada tafadhali,
 
Wewe ulikuwa hujazaliwa. Mimi sihitaji kufuatilia kwa kuwa nimekwenda uganda kumfurusha. Nimeingilia mtukula tunatembea mitoni na visu mamba nje nje. Nimekaa juba mwaka mmoja nikarejea hapa.

Unataak kuleta mambo ya kike barazani pa wanaume? Huyo mungu wenu bila shaka tawapa thawabu kubwa sana kwa kujitwika kazi yake ya uwongo!.

Siwezi kusema mengi kwa kuwa niko kwenye kiapo. Lakini huo ujinga wenu ishia huko huko vibarazani.

Mijitu mingine inaleta hapa hadith iza kwenye vijiwe vya kahawa wakti wanaume tumepigana msitu mnene hadi kupoteza mapeki!

Waganda gani wamekuambia wanajuta kwa idi amini? Bila shaka weweni punguani na wote wanaokusupot ni wale wale wabeba majambia.
Kwanza inaonyesha wewe ni mgalatia straight.. Ndy maana mapovu yanakutoka..pili hata km ulikaa mtoni na KISU CHA MKUNJO...haimaanishi kama ulijuwa kwann AMIN anapigwa.. kipindi hicho waliswagwa watu vijana ambao walifundishwa mafunzo tu ya mgambo..wakaingizwa kwenye malori wakapelekwa vitani..wengi walikufa kule kwa kukosa weledi wa kijeshi...pia kuwa na umri mkubwa haimaanishi ndy unajuwa kila kitu...elewa UMRI ni IDADI TU YA SIKU ulizokuwa UKISHANGAA SHANGAA TU duniani... Na umri hauhusiani na WELEDI WA KUJUWA VITU AU TAALUMA FULANI...tumeshuhudia wazee wengi tu wakiishia kutengeneza VIBATARI na huku vijana wadogo tu wakisukuma PANGABOI...hivyo suala la umri litoe..pia taarifa ninazokupa mm ni za kiintekijensia..mtu kama wewe ambaye uliyekuwa umepewa KISU badala ya BUNDUKI.. tena ukiwa VITANI..inaonyesha kwa jinsi gani hukuweza kuaminiwa...mlikuwa wengi msoj
b599cadcffabef0090f2577ec3a92ddd.jpg
uwa mnapigana na AMIN SABABU YAKE NN.....yote niliyokueleza ni kweli tupu..hyo 1977""baada ya WAISRAEL kuwakomboa mateka wao.. Wakaandaa hadi movie na kitabu kinaitwa raid in entebe...kimetungwa na mgalatia mwenzio..AMIN alikuwa mtu safi...haina shaka.
 
Back
Top Bottom