Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf swala ka Roma kupotea unaweza ukahisi na kupata jibu la haraka haraka maana huhitaji kuambiwa.
Tanzania ni nchi ya watanzania wote sio ya matabaka au watanzania wachache.
Nina maswali ambayo kila mmoja wetu lazima ajiulize
1. Kwanini wabunge wa ccm hawajitokezi kukemea swala hili la utekaji hazarani na kukemea, kama wamejitokeza wachache kwenye mitandao wanaogopa nn kutotoa sauti zao zisikike, wasiwasi ni kwamba wanaweza wakakana account za social media kuwa sio zakwao na kudai ni feki, je wanaelewa kilichofanyika au walikuwa na taarifa.
2. Kwann viongozi wa chama kama ccm wako kimya kuto kemea na kulaani vitendo vya uvamizi au kuteka. Mfano kiongozi wa eneo husika ambapo matukio yametokea, au wanasubiri mafuriko na tetemeko ndio wajitokeze kwenda kuwapa pole wananchi na familia zilizo athirika.
3. Kwanini Rais anaweza akatuma salamu za pole kwa wafiwa na sio kwa familia za waliopolewa au kutekwa katika mazingira ya utatanishi au viongozi kuanzia wa chama na serikali wanafikiri mke na wazazi wa Roma wamefurahia swala la mwanao kutekwa, wanahitaji faraja.
Tutafakari kwanza