Nyerere 79%...Mwinyi 17%...Mkapa 13%....Kikwete 11%...Magufuli 68%

Ekasi

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
482
302
Wadau tujadii mazuri na mabaya ya maraisi wetu waliopita na raisi wetu wa sasa.
 
Tuwe kama watu weupe waligoma tu kwa mda wakaamua kupiga chini mambo ya kijinga ya siasa kuendelea nayo hali rais hata iweje ni trump,wakaamua kutulia na kuanza mambo yao ya kutafta maisha ya hapa na pale

Bongo sasa duuu kila kukicha watu flani bila jpm mdomoni anahisi hajapiga musuwaki
 
Wadau tujadii mazuri na mabaya ya maraisi wetu waliopita na raisi wetu wa sasa.
Tufafanulie hizo asilimia ni za nini, usiposema tunaweza kupata tafsiri, nyingi either hizo % zinaonesha waliokuwa/wanaoenda sana kwa sangoma, ambatanisha na maelezo ya kutosha
 
Kupambana na rushwa nyerere na magufuri sawa, wengine 5, uadirifu magufuri na nyerere sawa wengine 2, kupenda kazi nyerere na magufuri sawa wengine zero, kukusanya kodi magufuri kamzidi nyerere kidogo, uajibikaji nyerere kamzidi jpm, kubana vyombo vya habari na maandamano, jmp zero, nyerere zero, wengine 4 kwenye maandamano lakini kwenye vyombo vya habari wamejitahidI 9 uchumi nyerere na magufuri wanajua wanaKOkwenda...WENGINE KILA KITU RUHUSA NA WEMEUWA VIWANDA VYOTE 24 ALIVYOACHA MWALIMU, UCHUMI NYERERE 50, JPM NDIO KWANZA MAPEMA LAKINI ANAJUA ANAELEKEA WAPI, MADAWA NA UVIVU KIKWETE 0.0000%, MPAKA 1% MWINYI 2%...JPM 98%.
 
ujinga ni nini??
ujinga ni kumfananisha rais aliekuwa madarakani na wale waliomaliza muda wao

sijasema nani mjinga nimetoa maana ya ujinga
 
QUOTE="Ekasi, post: 20613302, member: 423877"]Wadau tujadii mazuri na mabaya ya maraisi wetu waliopita na raisi wetu wa sasa.[/QUOTE]
Nadhani post yako ingekuwa neutral kama usingeweka hizo asilimia. Kwa jinsi ilivyo sasa ni ushabiki tu. Kwa hiyo usijaribu kutulisha ujinga tafadhali!
 
Tuwe kama watu weupe waligoma tu kwa mda wakaamua kupiga chini mambo ya kijinga ya siasa kuendelea nayo hali rais hata iweje ni trump,wakaamua kutulia na kuanza mambo yao ya kutafta maisha ya hapa na pale

Bongo sasa duuu kila kukicha watu flani bila jpm mdomoni anahisi hajapiga musuwaki

Umeona!!
 
Back
Top Bottom