Kwanini Hitler aliwakamata Waisrael, kuwafunga Sobibor, kuwatesa na kuwaua?

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
543
Wandugu.

Mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakamata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
 
Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Ni story za uongo za watu wamagharibi
 
Wale jamaa now wapo.kama 9milioni. So kama hutler aliwaua 6milioni mwaka miaka ya 40+ nadhani wangetakiwa kuisha .....or kwa upande mwingine jamaa hawazaliani kabisa yaaani wameongezeka ileile 6 iliyopotezwa??
Kingine kuwaua na kuwakusanya watu mili 6 na uwaweke kwenye tanuru lazima uweze kuwatofautisha. Kama black n white.
Hivi ukimuangalia netanyau n mama angel.markel au bastian mchezaji wa man u je kuna tofauti kati yao?? Aliwatambuaje hawa jamaa??
Hutler alikuwa katili but nyingine ni chumvi tu za western pipo...hizi za kuua 6mil kwa matunuru ni.kamba na wakakoleza na movie ile ya escape from sobibo basi ikatukaa akilini kuwa ni.kweli
 
ukisoma kitabu cha escape from Sobibbor, mh! Ila ukiifuatilia vizuri biblia, historia yake ni kama zile za kuhamishiwa Babiloni na dayaspora ya mwaka 70 baada ya kifo cha Masihi mkuu. Ila kwa mjerumani alikuwa na hofu kuwa mwizraeli angeliwameza wajerumani. Na sote tunajua kuwa mjerumani ni mkabila au mbaguzi. hubagua hata wazungu wenzake. Naye ni kati ya waanzilishi wa bara la Amerika
 
Story ya kweli inasemaje?
Hakuwaua wala.nini. Russian ndio walikuwa wa kwanza kufika germany wakati wa vita na hawakukuta matanuru na kweny hayo.makambi ya wafungwa walikuta watu wenye afya tele wanafanya kazi za kulima
 
Filamu ya Sobibo ilitokana na kitabu. ukifanikiwa kukisoma ndo utalia na kuelewa. si tanuru pekee. bali hata wengine walikuwa wanawekwa ktk hizi pleni ndogo. wakifikia altitude fulani wanasukumwa nje wanakufa.
 
Tangu kuvunjwa kwa HEKALU la pili Jerusalem miaka 70 kabla ya Yesu ,kulko fanywa na Warumi wa kale na Wayahudi kutawanyika dunia nzima,wamekuwa ni watu wa kuteseka
Ulaya na Afrika Kaskazini wameshafukuzwa nchi 139 kabla ya kuanzishwa taifa la Israel baada ya vita kuu ya pili
Kwa habari zaidi ingia website yao Aish.com
 
Escape from Sobibor, halafu kuna moja inaitwa Ingluorious Basters (kacheza Brad Pitt), sijui kwanini ilionesha chuki kati ya Germany na Jews.
 
Ni kweli ktk ile kambi ya Sobibo walipelekwa kufanya kazi. Zoa zoa ile ilikumba hata wasio Israelites. Kijana mdogo wa kimarekani ndiye alifanikisha kugundulika kwa jambo hilo. baada ya ujerumani kumwachia huru toka ktk kambi hiyo. ikumbukwe kuwa zamani hakukuwa na mawasiliano ya haraka kama hivi leo. so, wa izraeli walikuwa wanakusanywa kwa kudanganywa kuwa wanapelekwa kufanya ajira.
 
Ni kweli ktk ile kambi ya Sobibo walipelekwa kufanya kazi. Zoa zoa ile ilikumba hata wasio Israelites. Kijana mdogo wa kimarekani ndiye alifanikisha kugundulika kwa jambo hilo. baada ya ujerumani kumwachia huru toka ktk kambi hiyo. ikumbukwe kuwa zamani hakukuwa na mawasiliano ya haraka kama hivi leo. so, wa izraeli walikuwa wanakusanywa kwa kudanganywa kuwa wanapelekwa kufanya ajira.
 
Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Ujerumani baada ya vita ya kwanza, uchumi ulidorora lakini wayahudi sababu walikuwa hawaruhusiwi kumiliki ardhi lakini waliweza kuwa na interectural career pamoja na kujiajiri walikuwa wanafanya vizuri kwenye kuuza madini, picha za kuchora na innovations nyingi. Wayahudi wengi ndo walikuwa wasomi wazuri mfano Einstein na wengine wengi hivyo Ingawa Hitler hakuwa mjerumani alikuwa mtu wa Austria aliweza kupata upenyo na kuweza kushinda na chama chake. Hitler alitaka kila mtu amchukie myahudi sababu siyo Caucasian na siyo Aryan yaani watu wenye rangi nyeupe, macho ya blue na nywele blonde ndo wateule waliokuwa wamechaguliwa na Hitler kuwa watatawala ulimwengu. Ndo maana kwenye olyimpic ya 1938? kuna mmarekani alishinda gold medal 4 lakini huyu bwana alikataa kumshika mkono na US ilitishiwa sana sababu ya kuwa na wanegro na wayahudi kwenye timu.
Wayahudi wamekuwa wakimbizi wa kwanza duniani kabla ya kristo ndo maana ukisoma agano la kale unaona Joseph alivyolelewa Misri na vizazi vya wayahudi walivyotoroka toka misri Exodus. Ulaya nzima imejaa mazila ya wayahudi waliokimbia utumwa wa warumi, waarabu na baadaye mauaji ya kimbali ya manazi. Myahudi ni mtu ambaye ameweza kuweka ustaarabu wake kichwani pamoja na kukimbilia kila mahali duniani na ndo maana hata ukienda New York utafikiri upo Jerusalem. History ni ndefu sana ndugu google utawaelewa hawa watu wengine wapo Africa hata Zimbabwe wapo na wana rangi nyeusi kama sisi lakini ni Jews.
 
Back
Top Bottom