Msaada wa historia.

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Ndugu, mwenye kujua historia anisaidie kujua mambo ya fuatayo kwa ufupi,

Hasa kama kuna causes, effects or archievements bila kusahau background za vitu vifuatavyo:-

I. Pan-Africanism movement
II. Civil right movement
III. Back to African Movement
IV. Cold war

Asanteni na MUNGU awabariki.
 
Mzee hiyo Pan Africa movement si utafte kitabu cha history cha frm 3/4 hivyo vingine ugoogle mkuu acha uvivu
 
Back
Top Bottom