BURIANI SHEIKH ALI BIN MUSSA MAARUFU SHEIKH ROCKET
Naamini hakuna Muislam aliyezaliwa Dar es Salaam au kuishi tu ambae hakupata kumfahamu Sheikh Rocket au kumuona angalau kwa mara moja.
Mimi...
PICHA YA ABDALLAH KASSIM HANGA AKIBARIZI MSASANI BEACH KWENYE NYUMBA YA OSCAR KAMBONA
Hakuna kitabu kilichoeleza historia ya Hanga na Oscar Kambona kwa siku chache Hanga lipokuwa anakaa nyumbani...
Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu...
KUMBUKUMBU ZANGU ZA MAPINDUZI NA WATU WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA 1964 SEHEMU YA KWANZA
Nakumbuka kuangalia gazeti nikasoma na kuona picha za vurugu zilizotokea Zanzibar.
Gazeti hili bila shaka...
Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho.
Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa...
KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake...
Wanabodi,
Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike...
Leo asubuhi nilifanyiwa mahojiano na mtangazaji Faraja wa Azam TV kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar. Mtangazaji alifungua kipindi kwa utangulizi kuhusu historia ya mapinduzi na umuhimu wa kuyaenzi...
MIAKA 20 BAADA YA KUFIKA PWANI YA KIPUMBWI: HISTORIA YA KAMBI YA KIPUMBWI KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Miaka 20 iliyopita tarehe kama ya leo 9 December, 2003 ndiyo siku Mohamed Omari Mkwawa...
Ni nani makomredi walioshiriki Mapinduzi ya Zanzibar 1964
Picha: Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar
WIKI iliyopita mwandishi Salma Said alichangia katika mazungumzo ya humu mtandaoni...
Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972
Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi,
Sawa na idadi ya...
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda...
Wakuu,
Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana.
Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955...
Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani...
Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo.
Kurasa zote za habari hivi sasa...
Wakutu ni Kabila linalopatikana mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Pwani. Kwa mkoa wa Morogoro wanapatilana katika wilaya ya morogoro ( Morogoro vijijini ) katika vijiji vya Dutumi, Mvua, kisaki...
Hili ni moja ya kabila ambalo linapatikana hapa hapa Tanzania hasa upande wa mashariki.
Japo habari na historia la kabila hili zilishaandikwa, hasa juu ya asili ya neno Uzaramo au Wazaramo. Kwa...
Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.