Azam TV: Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kumbukumbu zilizozikwa

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,841
30,168
Leo asubuhi nilifanyiwa mahojiano na mtangazaji Faraja wa Azam TV kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar. Mtangazaji alifungua kipindi kwa utangulizi kuhusu historia ya mapinduzi na umuhimu wa kuyaenzi mapinduzi. Nilimtaka radhi kwa kumwambia kuwa itafaa kama tutayazungumza mapinduzi kutoka kumbukumbu ya mashujaa waliopigania uhuru wa Zanzibar lakini michango yao haitambuliwa na nchi yetu. Nilikwenda moja kwa moja kwenye kumbukumbu za Aman Thani kueleza yale ambayo si wengi wanayafahamu. Watazamaji nadhani kwa mara ya kwanza waliona picha ya Aman Thani kwenye televiseheni zao na picha ndiyo hiyo hapo juu. Nilieleza kuwa nimezisoma kumbukumbu za Aman Thani na niligusia umuhimu wa nyaraka zake kwa mwanafunzi yoyote yule anaejifunza historia ya siasa za Afrika hususan historia ya Zanzibar na mapinduzi yaliyokuja kutokea mwaka wa 1964. Nimesema kuwa kumbukumbu za Aman Thani zinakuja na picha nyingine kabisa ya mapinduzi ambayo si wengi wanaijua. Nilieleza kuwa ni Aman Thani peke yake katika wafungwa wa siasa wa Zanzibar aliyeweza kueleza kwa kirefu kuhusu Jela za Mateso zilizoundwa baada ya mapinduzi na jinsi alivokabiliana na Mtesaji Mkuu Hassan Mandera.

Niliwaonyesha watazamaji baadhi ya vitabu muhimu vya historia ya Zanzibar pamoja na kitabu, ''Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha,'' kitabu ambacho nilisema mwandishi Minael- Hosanna O. Mdundo amepotosha mambo mengi.

Mtangazaji Faraja alitaka kujua John Okello ni nani. Nilimweleza kuwa John Okello hakuwa chochote katika mapinduzi ila alitumiwa kutoa matangazo ya kuwatisha wananchi. Kwa lugha ya wenye mapinduzi yao ni kuwa, ''Walimvisha blanketi la U-Field Marshall na likamwenea na yeye mwenyewe akaamini khasa kuwa hakika ni ''Field Marshall,'' Hapa kuhusu, ''Blanketi la Okello,'' niliwapeleka watazamaji wangu kwenye rejea ya kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.'' Nilimtaja Abdallah Kassim Hanga kuwa ndiye aliyepanga mapinduzi akishirikiana na serikali ya Tanganyika chini ya Julius Nyerere. Katika muktadha huu niliwarejesha tena watazamaji kwenya kumbukumbu za Aman Thani aliposema kuwa hayakuwa ''mapinduzi,'' bali mavamizi. Aman Thani nikaeleza kuwa ametoa changamoto katika picha maarufu ya Okello hapo juu kuwa atokee mtu awaonyeshe Wazanzibari khalis katika picha ile.

OCkj4wvX5SAGhYFQtb9kZ6kSljdblVid_75DQi4JUOrhSS77iwznAz9n7j1tis-lzBxgFCRKX6nqIBPO0n0ilJyskop6vegSv6S4vmwigfuhKiYDPQ5ipviWkBhGDIhMBSUo-cnlLzLYMMZPpXqTsDSixjmi8vRRo_BXfC5Qsh0IYsbiqvQX1LP3DhfC23WRl1Q-C0Dks7PE4vbtGQhopq67PWGfyGckQdOg4jamMYaDJL5AlEU2FsDsI49rGssaGy_tXIZnp5eTCwsa__bC8Ohrjk1Qoaxy_c8iNZ-3bnRAnBNE5wRZAFplslzN97ahLmjj7itxN7i5WzoXNA4SZYY2MJ4X-Nzh0nmUlx-swH25sCjIkciCB0x5ulAiieMZaQPmQttOSR4j1Y7OAsO9oeBgQ8ivm3ZIEXBgBZFfAlOB_2WypUFPX_eBnyuvCp5kaWbV2Si8R8o7-bxyuH5NrNDlR_DLLfD9IrJmMWYLsfJsbv37UWx1JhTl-d_dd8xGa9iDoYGYP4aRHt5NVFfRmI8Yz3EMop9Nrv8_FBhCNgAnPS3O5MAoBc9PAI9pXBNbl2Xv=w936-h643-no

Baadhi ya mawaziri wa serikali iliyopinduliwa

Kushoto: Ibun Saleh, Juma Aley, Mohamed Shamte, Dr, Baalawy na Ali Muhsin Barwani

DSCN0235.JPG

DSC_2469.jpg

Niliendelea kusema kusema kuwa hatujapatapo kusheherekea Mapinduzi ya Zanzibar katika hali ya majonzi kama mwaka huu. Moja kwa moja nikawafahamisha watazamaji kuwa tunasheherekea mapinduzi tukiwa katika hali ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamepanda jahazi la ubaguzi wa rangi kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuonyesha bango la kibaguzi wakiwabagua Wazanzibari ambao hawakuzaliwa na ngozi nyeusi habari ambazo zimezagaa katika mitandao ya kijamii kama moto wa makumbi. Nilimweleza mtangazaji kuwa sitaki kuamini kuwa CCM Zanzibar imefilisika kiasi hiki. Hapa nikaeleza historia ya Tanzania kuwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika kulikuwa na Wazungu na Wahindi waliokuwa viongozi wa TANU na wakisimama kugombea nafasi za uongozi na wakishinda bila ubaguzi. Nilimtaja Sophia Mustafa, Ratansey, Amir Jamal, Dereck Bryceson na nikaeleza kuwa katika Bunge la Tanzania kuna kila aina ya wabunge mpaka Makalasinga. Nikaeleza kuwa huko Zanzibar tumekuwa na rais Amani Abeid Karume ambae baba yake asili yake ni Mnyasa na mama yake ana asili ya Kihindi. Nikawauliza hawa wabaguzi kuwa hivi ndugu zetu kama Mansour Yusuf Himid na Mahamoud Thabit Kombo na wengi wao Amani Karume mwenyewe na binti yake Fatma watajisikiaje kwa kauli kama hizi za ugozi?

Nilieleza kuwa historia nyingi ya mapinduzi ya Zanzibar imo katika vifua vya watu wengi wao wameshatangulia mbele ya haki. Wengi katika hao kwa njia moja au nyingine walishiriki wakiwa Bara katika kuiangusha serikali ya Zanzibar. Lakini kutokana na mauaji yaliyotokea katika mapinduzi na baadae wengi wao walifunga midomo yao na hawakutaka watu wajue kuwa walihusika. Mfano mmoja niliouleza ni wa Ali Mwinyi Tambwe. Nilieleza kwa uchache kuwa Ally Sykes alimgusia Dr. Harith Ghassany kuwa wao ndiyo walimjulisha Nyerere kwa Karume.

Dr. Harith Ghassany na Ally Sykes ofisini kwa Bwana Ally Mtaa wa Mkwepu, Dar es Salaam.

HIxSqqRbJGaLAez7r9pMX0hfIsHtJTQhKsoOfgM_bjDUZnA3YVmAxOvccCZu56GmAvPvMvEWkbr_Qx9h6xJKkeKXqHjxgkrFyBVqEvSpzUupviVnSnnIcould3HtFC4z32XdB9RH4yvyAn1b6decVwJZOikbpe76bkigxWiD_iqHkZq-61-4Nepk8Xj6kiqdiUGHxdkEfO0rteUGyt79qS2EkshiG93fqJ4bb4t-YeS8JVYcuRkQKwAkp2hfzK1iQMOiOWQ6vpIhIOWzrkLCbYp3rp3hcb6FBD3y9MSU6-uhtme5uMZDuIDHyx1lTXwdmFGB7mFgjhwiGqFPj_HKX_QYziFd_wUVU7QHjF1mydo19P7lRFH9XwUzskojrklBBeE67ZB37aULbcOgPi60Gb246eBPyeyVOwbhiEfwuqJLRsvuUrf60l5k1lXdAO88udpqsjIR9uTO5LrOCU79LIEOB1_G8eas7gyGXYdKb7_cNbDkq0gnlQ9Klw6dHDAKdxkrf8EZvGNNKeaeOcqrNZP0mjVVl4RQGbbhhWZgALKetGz0O0sF20qGc_3UwUHPj9sm=w961-h643-no

wnN7SGCtdJHh1xvAPEA0u8sZGRTVODUvEowrFENK8DkdyMtTUFArqNn_NK2OHPhm-iCkeZojGAESgHd7HCcqliGdXtBCIgW_ojvPXe8n0MxsoYHW5zuSphTeBozXa2Sjh7Xm6308GS4_oY4iE6RXhkOHqqmROL2r4B-NqbU3yaAVDX-Dfz8McZZJP5laKOHMxsKn74grlKe1-1p-GNTpm9N0zdrPNvObPGfrrliYxt5gKv3F8H46mQH02mboj8nv946P-kwLeOWYsxD_Ztu-AITxZlqdJ6iXIWcnSxG_M8OXqQ7P_7GL8RYcsJEY75Q5JIpqcDMuMNtt9G7vKLFLKDrLe2Fw_gN0joXi2gc01YDXrxL6Fu59LutiQ--yBvlULaovDJb2ZyPBh7musqvpf0UbcwSqB3d4GkqGTYF9fl9W_UucSTqJKLB5Q8akORhQLa8c9X6i76OYKlZtw7q4GLwEhKhwRHMKOR6fYXz3he5VKnOdq0cOiCWw5Y10O1rVeBBAY_hO4_vXQuYANScFuBpWpcBm-57A4yz-Wi53L9t360XdpiSnQl1DAu94rvoClSUS=w480-h360-no

Mtangazaji alitaka tuhitimishe mahojiano yetu kwa mimi kueleza hali ya baadae ya Zanzibar. Nilimueleza kuwa Wazanzibari wamefanya uchaguzi na CCM Zanzibar imeshindwa kwa ufupi ni kuwa, ''The people of Zanzibar have spoken,'' hakuna njia yeyote nyingine ila kwa walioshindwa kukubali kushindwa na maneno ya Ali Mohamed Shein kuwa kesi yake ipelekwe mahakamani ni jambo linalotufedhehesha. Itakuwa kichekesho cha mwaka mtu shindwe uchaguzi dhahiri na anapoelezwa hivyo aseme, ''Nenda mahakamani mimi ni rais halali.''
 
Hawa Azam TV wanapochagua mzungumzaji kwenye issue sesitive kama hii ya Mapinduzi ya Zanzibar, walibidi walete watu antogonistic, ili kuzuia umma wote wa Watanzania kudanganywa na warongo wale wale kwa kutumia urongo ule ule kuwa eti Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, hayakuwa mapinduzi bali uvamizi!. Mwandishi ni vizalia vya waliopinduliwa, msimulizi ni nasaba ya waliopinduliwa, objectivity, impartiality, fairness and balance itatoka wapi zaidi ya bias tupu mwanzo mwisho?!.

Tangu mwanzo humu jf, tumesema wazi maandishi ya baadhi ya waandishi wa mapinduzi yale ni urongo!, sasa unapowaleta mashabiki wa urongo, kuja kutetea maandishi ya hao warongo, matokeo yake ni urongo juu ya urongo!. Okello mwenyewe ameandika kitabu ya kilichotokea!, leo asubuhi nimeangalia TBC shuhuda mmoja wa mapinduzi yale aliyepigana ametoa ushuhuda wa kilichotokea na sio uongo huu wa wasimuliwaji!, ameeleza jinsi utawala dhalimu wa Sultani ulivyokuwa ukiwatenda Waarika!.

Ili tusiendelee kubishania urongo, kwa nini baadhi ya mashujaa wa mapinduzi yale walio hai, wasihojiwe na mambo ya mapinduzi yale kuwekwa sawa?!.

Pasco
 
Pasco,
Kughitilafiana ni silka ya sie binadamu wote.
Khitilafu ndiyo inayojenga ilm na kuongeza maarifa.

Ungeweza kuyasema hayo yote kwa njia ya kistaarabu na wala hapana haja kutoleana
maneno makali.

Mimi si muongo.

Nimesoma kila kitabu kuhusu mapinduzi ya Zanzibar na zaidi nimeona nyaraka za watu
binafsi ambazo hakuna mtafiti yoyote amepata kuzitia machoni.

Katika juhudi hizi nimejifunza mengi.
Unaposema kuwa ''mashujaa wa mapinduzi,'' wahojiwe...

Walio karibu ni wanachama wa Umma Party (Makomredi) ambao ikiaminika kuwa ndiyo
waliopanga mipango ya mapinduzi lakini haikuwa kweli.

Hawakuwa wao.

Dr. Harith Ghassany katika kitabu chake akaja kueleza kuwa kulikuwa na jeshi kutoka
Kipumbwi la Wamakonde wakata mkonge waliovushwa kutoka mashamba ya Sakura
wakaingizwa Zanzibar kuja kusaidia mapigano.

Mvushaji wa hawa Wamakonde alikuwa Mohamed Omari Mkwawa akisaidiana na Victor
Mkello.

Ushahidi wa wahusika wakuu wa mapinduzi wote umewekwa kwenye kitabu, ''Kwaheri
Ukoloni Kwaheri Uhuru.''

Wanachama wa iliyokuwa Umma Party wengi wa hai na wamekisoma kitabu.

Jiulize kwa nini hadi leo wamebaki mabubu hawajasema lolote kuhusu wao kupanga
mapinduzi au angalau kufanya pitio la kitabu cha Dr. Ghassany au na wao kuandika chao
kuhusu mapinduzi?
 
Mkuu Maalim, Mohamed Said, kwanza nisamehe sana kwa kukuita mrongo, ila siku zote kunakuwepo na ukweli mmoja tuu, kinyume cha ukweli huo, mengine yote ni urongo!. Katika kusema ukweli kunaweza kuwepo kweli mbalimbali kwa kila mtu kuwa na ukweli wa upande wake wenye manufaa nao, lakini bado ukweli halisi huwa ni mmoja tuu!, ndio maana nimekuomba msamaha, kwa kuutegemea ukweli wa Dr. Ghasany kama refference ya ukweli wako, kumbe ni urongo tuu!.

Tukianzia na chanzo cha Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, Wananchi wa asili wa Zanzibar ni Wakwezi na Wahadimu kuchoshwa na udhalimu wa utawala wa Sultani na madhila waliyoyapata, shuhuda niliyemsikia leo TBC akishuhudia, alisema walijitolea kufa, kwa sababu hakuna aliyejua hatma ya mapinduzi yale kama yangefanikiwa au laa, na ndio maana hata Abedi Karume na wanaye, Amani na Ali, walikimbilia bara kuja kujificha kusikilizia kwanza!.

Kitendo cha kudai kuwa eti Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, yalikuwa sii mapinduzi bali ni uvamizi, ndio urongo mkubwa kabisa wa kwanza!. Kitendo cha kumdismiss John Okello kuwa had no role and did not play any vital part pia ni urongo wa pili!. Kwa Wakwezi na Wahadimu, yale yalikuwa ni Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyovikomboa visiwa hivyo, kutoka mikononi na kwenye makucha ya wavamizi madhalimu wa Kiarabu waliotoka zao kwao Oman, wakavivamia visiwa vile, wakaviteka, na kuifanya Zanzibar ni mali yao makao yao!. Hata Carl Peters alipokuja aliandaa mikataba ya kilaghai kurubuni mababu zetu akina Sultani Mangungo, ndipo wakaichukua ardhi ya Tanganyika kuigeuza yao. Hassan Bin Amiri, alipokitwaa kisiwa cha Kilwa, alikinunua kwa thamani ya kitambaa kilichokizunguka kisiwa chote cha Kilwa!, Sultan Seyyid Said alipotoka Oman kuihamishia sultanate yake toka Oman hadi Zanzibar, alivamia, na hakuwafanyia chochote Wahadimu as if watu wale ni kama manyani tuu, na visiwa hivyo aliviokota kama dodo chini ya mwembe, au sadakalawe!. Hivyo Mapinduzi yale Matukufu ilikuwa ni kuvikomboa visiwa hivyo toka kwa wavamizi na kuvirejesha mikononi mwa wenyewe!.

Kwa Waarabu Mapinduzi yale Matukufu ni uvamizi, lakini kwa wenyewe wenye visiwa vile Mapinduzi yale Matukufu ni ukombozi!. Sasa ukimleta kwenye TV mtu wa mrengo wa Mapinduzi ni uvamizi, bila kumuweka na mtu wa ku counter kuwa Mapinduzi yale ni ukombozi, matokeo yake watazamaji wataishia kulishwa matango pori na urongo wa uvamizi bila kusikia ukweli wa ukombozi!.

Kila binadamu ana haki ya uraia wa popote pale alipozaliwa regardless ya asili ya wazazi wake!, sasa hawa wazalia wa wavamizi wa Kiarabu waliozaliwa Zanzibar, ili kujenga uhalali wa asili yao ni Zanzibar na kuifuta dhana ya wazaliwa wa wavamizi, ndipo wakaja na andiko la kuonyesha Waarabu walikuwepo Afrika miaka mingi hata kabla ya wenyeji wa asili wa Afrika, nikasema huu ni urongo!.

Tanzania tumewahi kutawaliwa na mtawala mwenye asili ya Kitutsi, tukaja kutawaliwa na mtawala kutoka Nchumbiji, na sasa tunatawaliwa na Banyamulenge fulani kutoka Burundi, lakini no body cares kuhusu asili ya wazazi wao simply because wamezaliwa Tanzania!, vivyo hivyo kwa wazalia wa wavamizi hawa wa Kiarabu, Zanzibar ndio kwao, ila huo uarabu wao, usiwapofushe kuyaona Mapinduzi Matukufu yale ni uvamizi badala ya ukombozi!.

Wewe umesoma kuhusu Mapinduzi na kuhadithiwa na mashuhuda, Ghasani pia kasoma na kuhadithiwa, mimi pia nimesoma na kuhadithiwa, hivyo acconts zote za Ghasani, zako na zangu zote ni hadithi tuu kutoka fasihi simulizi zikahifadhiwa kwenye fasihi andishi!, kwa vile mpaka sasa tunapoandika hapa, hawa mashujaa wa Mapinduzi Matukufu, baadhi wangali hai, kwa nini hawa wenye vituo vya TV, wasifanye juhudi za kuwatafuta watupe first hand inforrmation, badala ya kutegemea second hand news or third parties?!. Kwenye kitu kinachoitwa acuracy first hand news ndio the truth, tha rest inaweza kuwa urongo!.

Kwenye mada zangu hizi, nilijaribu kuhoji, nikaishia kutukanwa!.
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.

'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali bila majibu!

Utanisamehe sisi wengine wa huku bara lugha zetu ni ngumu kidogo, hatuna maneno malaini malaini, au lugha za kubembeleza, kama jambo ni urongo, tunaliita urongo na hatulirembi!.

Pole.

Pasco
 
Sasa sisi tusio waandishi tuambulie nini hapa? na kwanini basi waandishi wa bara huwa kama wanahamaki kila kunapotokea mwandishi kutoka ZNZ akasema chochote kuhusu Muungano au mapinduzi, kiukweli sisi tusiosoma mnatuacha hoi tumuamini nani basi? tuamini maadishi au mtu atakayejitokeza na kusema mimi nilikuwepo? na huyo mtu nani atamthibitisha kama kweli alikuwepo? au kuna kigezo kitatumika kama DNA kumtambua ili kumpa nafasi aseme au atokelezee kwenye TV kudadavua jambo hili? na kumbe basi historia zote ikiwa na maandiko matakatifu ni urongo na tunahitaji mtu aje aliekuwepo enzi za mitume atuambie mitume walisema nini? mimi nadhani kwa ufahamu wangu mdogo kitabu kinafaa kupingwa na kitabu mkuu Pasco kwa heshima na taadhima na wewe njoo na maadiko yako ili nasi tufaidike, jaziba sio sawa
 
Mkuu msumeno, kwenye mijala kuna kitu kinaitwa mirengo, waandaaji wa mazungumzo yoyote kwenye TV, zaidi ya kuwaalika watu wenye knowledge kama Mohamed Said
pia wanapaswa kuijua mirengo ya waalikwa wao!. Kutokana na maandishi yake, mrengo wake unafahamika!.

Kwenye yale mapinduzi ya Zanzibar, kuna waliopindua, na kuna waliopinduliwa, na wote wameandika, waliopinduia wanayaita Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyoleta ukombozi katika visiwa hivyo!. Waliopinduliwa wanaita ni uvamizi wa mauaji ya kinyama na kimbari, yaliyoleta mateso katika visiwa hivyo!. Ili mjadala unoge, inakubidi uwaite wasemaji toka kambi zote mbili!. Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru ni mrrengo wa waliopinduliwa ambapo kwao yale sii mapinduzi bali ni uvamizi na hayana utukufu wowote!. Wote hao ni watu wa kuhadithiwa tuu hakuna mashuhuda na sio kwamba hawapo, no bali hawatafutwi kuzungumza wao wenyewe, bali waandishi ndio wanaowazungumzia!.

Uandishi ni uwezo, ni kipaji, ni karama, wengine kama kina wamejaaliwa kipaji hicho na karama hizo, sisi wengine hatukujaaliwa, ila nasi pia ukweli wa mapinduzi yale tumeosoma, sasa unapotokea ukweli ule unapowekwa pembeni na badala yake kuletwa urongo, uwezo wetu ni kusema tuu kuwa huo ni urongo!. Yale ni kweli yalikuwa ni Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na sii uvamizi kama uongo unavyodai!, mapinduzi yale yameleta neema, usawa na ustawi!. Utawala wa Sultani licha ya kuleta ustawi katika visiwa hivyo, pia ulikuwa ni utawala dhalimu uliowafanyia wenye visiwa vyao madhila mengi mabaya na ukatili wa kutisha!.

Mwaabu alipokuja Zanzibar ile 1832, aliwakuta wenyeji, akavamia visiwa hivyo na kuvitwaa kama vyake, akaitafisha adhi yote kuwa ya Waaabu, wenyeji walikodishiwa!. Mapinduzi yale yamewakomboa wenye nchi yao sasa wana adhi yao na hawakodishiwi tena bali ni wamiliki!.
Ukisikiliza upande wa waliopinduliwa, utaegemea upande mmoja wa urongo tuu na kukosa kuusikia ukweli!.

Swadakta at least wewe na Mzee Mohamed Said mmesoma maadishi kwa kiasi chake na kila mmoja wenu ameamini alichokisoma kuwa sahihi na kwa vile haya sio maadiko matakatifu ambayo tutaogopa kuyahoji kwa kutaka ushahidi, na hata sasa kuna midahalo ya kidini hufanyika ili kuchallengiana baina maadiko ya kidini huku maadishi au aya zikimwangwa na kuwaachia wasikilizaji wa midahalo hii waamue. Tumeshapata shuhudia mahala pande moja kati ya wahusika kukubaliana kua maadiko ya mshindani wake ni sahihi na hivyo kuamua kuungana nae... sasa kwa vile hili swala la Mapinduzi na muungano sio dini, lakini kwa vile kumekuwa na mfano wa kambi mbili abazo wewe umeziainisha hapo juu yaani kambi ya kushinda na kushindwa au kwa kifupi kambi ya waliokua wanyonge na mabwenyenye waliopinduliwa kila mmoja akiyaona mapinduzi kwa jicho lake. Sisi kwa bahati mbaya tumekua tukitengemea habari ambazo mmekua mkituhabarisha, tumeendelea kubaki njia panda maana tunashindwa kufikia mwafaka wa kipi ni sahihi.... kwanza ujue pia kuna uoga flani tulionao sisi ma leimani hata kuchangia habari hizi ambazo kwa namna moja au nyingine zinaonekana ni nyeti.... mimi nilikua naomba basi kuwe na ustahmilivu katika kujadili hili swala na pia kama kuna watu waliokuwepo wa pande mbili wajitokeze kwenye kitu kama mdahalo fulani wenye lengo la kuweka kumbukumbu sawa maana imagine kama sisi tu tunapishana kiasi kihi je kwa watoto wetu? ninachelea kusema hata haya mabango yanayoanza kujitokeza pengine ni haya haya yakutokuwa na uhakika na nini kilitokea .... Ila mkuu Pasco hapo juu umesema nchi hii imewahi kutawaliwa na watu gani vile ??nadhani hapo umeteleza kidogo. mimi sio mwandishi naweza nikawa nimejichanganya ila kwa ufupi nashauri taasisi au mtu binafisi ajitokeze ili kuwe na kama project ya kupitia maandiko yote ya pande zote mbili then waasisi wa Mapinduzi pado wapo na hata wa upande wa pili wapo hapa au hata huko ughaibuni wanaweza kutusaidia kuweka kumbukumbu sawa kwa manufaa yetu na ya kizazi kijacho ilikuepeuka hasad kupenyeza chuki baina yetu kalamu inajenga na kalamu pia yaweza bomoa
 
Mkuu Maalim, Mohamed Said, kwanza nisamehe kwa kukuita mrongo, ila siku zote kunakuwepo na ukweli mmoja tuu, kinyume cha ukweli huo, mengine yote ni urongo!. Katika kusema ukweli kunaweza kuwepo kweli mbalimbali kwa kila mtu na ukweli wa upande wake wenye manufaa nao, lakini bado ukweli halisi huwa ni mmoja tuu!, ndio maana nimekuomba msamaha, kwa kuutegemea ukweli wa Dr. Ghasany kama refference ya ukweli wako, kumbe ni urongo tuu!.

Tukianzia na chanzo cha mapinduzi yale ni Wananchi wa Zanzibar, wakweli na wakulima kuchoshwa na udhalimu wa utawala wa lisultanim ba madhila waliyoyapata, shuguda niliyemsikia leo TBC akishuhudia, alisema walijitolea kufa, kwa sababu hakuna aliyejua hatma ya mapinduzi yale kama yangefanikiwa, na ndio maana hata Abedi Karume na wanaye, walikimbilia baa kuja kujificha kusikilizia kwanza!.

Kitendo cha kudai kuwa eti Mapinduzi yale matukufu ya Zanzibar, yalikuwa sii mapinduzi bali ni uvamizi, ndio urongo mkubwa kabisa wa kwanza!. Kitendo cha kumdismiss John Okello kuwa had no role and did not play anya vital part pia ni urongo wa pili!. Kwa Wakweli na Wakulima, yale yalikuwa ni Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyovikomboa visiwa hivyo, kutoka mikononi mwa wavamizi madhalimu wa Kiarabu waliotoka zao kwao Oman, wakavivamia visiwa vile, wakaviteka, na kuifanya Zanzibar ndio makao yao!. Hata Carl Peters alipokuja aliandaa mikataba ya kilaghai kurubuni mababu zetu ndipo wakaichukua ardhi ya Tanganyika kuigeuza yao. Hssan Bin Amiri, alipoitwaa Kilwa, aliinunua kwa thamani ya kitambaa kilichokizunguka kisiwa chote cha Kilwa!, Sultan Seyyid Said alipotoka Oman kuihamishia sultanate yake Zanzibar, alivamia, na hakuwafanyia chochote Wahadimu as if watu wale ni kama manyani tuu, na visiwa hivyo aliviokota kama sadakalawe!. Hivyo Ma;pinduzi yale Matukufu ilikuwa ni kuvikomboa visiwa hivyo toka kwa wavamizi na kuviejesha mikononi mwa wenyewe!.

Kwa Waarabu Mapinduzi yale Matukufu ni uvamizi, lakini kwa wenyewe wenye visiwa vile Mapinduzi yale Matukufu ni ukombozi!.Sasa ukimleta kwenye TV mtu wa mrengo wa Mapinduzi ni uvamizi, bila kumuweka na mtu wa ku counter kuwa Mapinduzi yale ni ukombozi, matokeo yake watazamaji wataishia kulishwa urongo wa uvamizi bila kusikia ukweli wa ukombozi!.

Kila binadamu ana haki ya uraia wa popote pale alipozaliwa regardless ya asili ya wazazi wake!, sasa hawa wazalia wa wavamizi wa Kiarabu waliozaliwa Zanzibar, ili kujenga uhalali wa asili yao ni Zanzibar na kuifuta dhana ya wazaliwa wa wavamizi, ndipo wakaja na andiko la kuonyesha Waarabu walikuwepo Afrika miaka mingi hata kabla ya wenyeji wa asili wa Afrika, nikasema huu ni urongo!.

Tanzania tumewahi kutawaliwa na mtawala mwenye asili ya Kitutsi, takaja kutawaliwa na mtawala kutoka Nchumbiji, na sasa tunatawaliwa na Banyamulenge fulani kutoka Burundi, lakini no body caes kuhusu asili ya wazazi wao simply because wamezaliwa Tanzania!, vivyo hivyo kwa wazalia wa wavamizi hawa wa Kiarabu, Zanzibar ndio kwao, ila huo uarabu wao, usiwapofushe kuyaona mapinfuzi yale ni uvamizi badala ya ukombozi!.

Wewe umesoma kuhusu Mapinduzi na kuhadithiwa na mashuhuda, Ghasani pia kasoma na kuhadithiwa, mimi pia nimesoma na kuhadithiwa, hivyo acconts zote za Ghasani, zako na zangu zote ni hadithi tuu kutoka fasihi simulizi zikahifadhiwa kwenye fasihi andishi!, kwa vile mpaja sasa tunapoandika hapa, hawa mashujaa wa mapinfuzi, baadhi wangali hai, kwa nini hawa wenye vituo vya TV, wasifanye juhudi za kutafuta watupe first hand inforrmation, badala ya kutegemea second hand or third parties?!. Kwenye kitu kinachoitwa acuracy first hand news ndio the truth, tha rest inaweza kuwa urongo!.

Kwenye mada zangu hizi, nilijaibu kuhoji, nikaishia kutukanwa!.
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.

'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali bila majibu!

Utanisamehe sisi wengine wa huku bara lugha zetu ni ngumu kidogo, hatuna maneno malaini malaini, au lugha za kubembeleza, kama jambo ni urongo, tunaliita urongo na hatulirembi!.

Pole.

Pasco
Dr. Harith Ghassany
Dr. Harith Ghassany
kuwa ndio ukweli halisi wa mapinduzi yale, na wewe ukauamini na kuufanya ndio ukweli wako, kumbe ukweli huo nao sii ukweli halisi bali ni urongo tuu

Pasco,
Waarabu hawakuvamia Zanzibar.
Hakuna ushahidi wa hilo.

Waliovamia Zanzibar ni Wareno.

Wanannchi wa Zanzibar ndipo wakatuma ujumbe Oman kuomba msaada
kutoka kwa ndugu zao.

Isome vyema historia ya Pwani ya Afrika ya Mashariki utajifunza mengi yenye
ithibati na ushahidi.
 
Wanannchi wa Zanzibar ndipo wakatuma ujumbe Oman kuomba msaada
kutoka kwa ndugu zao.
Hawa wananchi wa Zanzibar ndio ndugu zao walikuwa na ndugu Oman?

Hii ni sawa na kusema wakenya ni ndugu zetu au kusema wamasai wapo Tanzania na Kenya?
 
Hawa wananchi wa Zanzibar ndio ndugu zao walikuwa na ndugu Oman?

Hii ni sawa na kusema wakenya ni ndugu zetu au kusema wamasai wapo Tanzania na Kenya?
KXY,
Udugu niliokusudia ni udugu wa Uislam.

Wareno walikuwa wameingia Zanzibar na walikuwa Mombasa na waliuchoma mji ule mara tano katika
historia yao.

Waomani ndiyo waliokuja Mombasa baada kuwahami ndugu zao.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Zanzibar.
 
Kwa hiyo Mzee wangu Mohamed Said...unataka kusema Wareno walifukuzwa na waarabu?
Maishapopote,
Wala hapana haja ya wewe kuniuliza mimi swali hilo.
Soma historia ya Zanzibar utajifunza mengi.

Ushauri wangu kwa wanamajlis ni kuwa tusome kwanza
au tufanye utafiti lao mdogo katika hizi mada tunazotaka
kuchangia.
 
Natuma salamu za pongezi ya miaka 54 ya Mapinduzi, matukufu ya Zanzibar kwa Wanzibari wote, Wazanzibara na Wapemba, japo hawakushiriki Mapinduzi.

Mapinduzi Daima.

P
 
Natuma salamu za pongezi ya miaka 54 ya Mapinduzi, matukufu ya Zanzibar kwa Wanzibari wote, Wazanzibara na Wapemba, japo hawakushiriki Mapinduzi.

Mapinduzi Daima.

P
Paschal,
Tuanze na neno ''utukufu,'' ambalo kwa Wazanzibari kwa kuwa ni nchi yenye
Waislam wengi na dini inagusa kila nyanja ya maisha yao neno, ''utukufu,''
haliwapi shida kuijua maana yake.

Ukiwaambia Wazanzibari utukufu wa Makka na Madina hawapati tabu kufahamu.

Hawapati tabu kwa kuwa wanajua kuwa mji huo unawaunganisha na Mola na
Mtume wao na hii ni salama kwa Wazanzibari.

Sasa unapokuja na lugha ya ''mapinduzi matukufu,'' ipo haja ya kusoma historia
ya mapinduzi yenyewe ili kuona huo utukufu unatokana na nini?

Mapinduzi yalisababisha mauaji makubwa kwa kudhani kuwa wanaouliwa ni
''Waarabu,'' kisha mauaji yakahamia hata kwa wale ambao hawakuwa hata na tone
la damu ya Kiarabu.

Huwezi kuita haya mauaji kuwa ni utukufu.
Historia ya mauaji haya ni historia ya fedheha.

Zanzibar kabla ya mapinduzi hapakuwahi kuwa na jela ya mateso wala mauaji
ya raia ndani ya jela za kawaida na nje yake.

Damu ya binadamu ilikuwa kitu kitukufu chenye kuthaminiwa.

Ali Mwinyi Tambwe kashiriki pakubwa katika mapinduzi pamoja na
watu wengi tu kutoka huku Bara lakini kwa historia hii wote wanahofu
kuhusishwa na haya mapinduzi.

Bwana Paschal kama unadhani unawakejeli Wapemba kwa
kutoshiriki katika historia hii basi jua kama Waingereza wasemavyo,
''The joke is on you.''

Kwa hili la, ''Mapinduzi Daima,'' jibu lako lipo katika historia ya Uchaguzi
Mkuu Zanzibar na jinsi Wazanzibari wanavyopiga kura.

Ningeweza kukufanyia uchambuzi lakini naogopa kushtakiwa kwa uchochezi.
Lakini naamini sote tunaelewa nini kimekuwa kikitokea.
 
.
Mkuu Maalim Mohamed Said , kwanza heri ya mwaka mpya. Aliyeyaita Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sio mimi, mimi name nimezaliwa, nikakuta Mapinduzi ya Zanzibar yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na hili nililizungumza hapa
Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na Yana Utukufu Gani?!,
Ali Mwinyi Tambwe
kashiriki pakubwa katika mapinduzi pamoja na
watu wengi tu kutoka huku Bara lakini kwa historia hii wote wanahofu
kuhusishwa na haya mapinduzi.

Bwana Paschal kama unadhani unawakejeli Wapemba kwa
kutoshiriki katika historia hii basi jua kama Waingereza wasemavyo,
''The joke is on you.''

Kwa hili la, ''Mapinduzi Daima,'' jibu lako lipo katika historia ya Uchaguzi
Mkuu Zanzibar na jinsi Wazanzibari wanavyopiga kura.

Ningeweza kukufanyia uchambuzi lakini naogopa kushtakiwa kwa uchochezi.
Lakini naamini sote tunaelewa nini kimekuwa kikitokea.
Mimi kama mwanahabari, msingi wangu Mkubwa ni ukweli, kwa mimi sikuwepo kwenye Mapinduzi, na wewe pia hukuwepo, hivyo wengi wengi tunayoyajua kuhusu mapinduzi haya ni yale tuu tuyahadithiwa na mashuhuda wa mapinduzi yale, ndio maana siku zote mimi nasisitiza kama ukweli wowote kuhusu mapinduzi haya uliofichwa, usemwe wazi, tembelea bandiko langu hili, angalia ni la mwaka gani na niliuliza nini?.
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Nakutakia mapumziko mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Paskali
 
Mkuu Maalim Mohamed Said , kwanza heri ya mwaka mpya. Aliyeyaita Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sio mimi, mimi name nimezaliwa, nikakuta Mapinduzi ya Zanzibar yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na hili nililizungumza hapa
Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na Yana Utukufu Gani?!,

Mimi kama mwanahabari, msingi wangu Mkubwa ni ukweli, kwa mimi sikuwepo kwenye Mapinduzi, na wewe pia hukuwepo, hivyo wengi wengi tunayoyajua kuhusu mapinduzi haya ni yale tuu tuyahadithiwa na mashuhuda wa mapinduzi yale, ndio maana siku zote mimi nasisitiza kama ukweli wowote kuhusu mapinduzi haya uliofichwa, usemwe wazi, tembelea bandiko langu hili, angalia ni la mwaka gani na niliuliza nini?.
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Nakutakia mapumziko mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Paskali
Paskali,
Unasema wewe umekuta neno tukufu linatumiwa kueleza mapinduzi
kwa hiyo hukuona sababu ya kutaka kujua kwa nini mapinduzi yaitwe
''matukufu.''

Hivi wewe kama mwandishi hutaki ''to go an extra mile,'' katika uandishi
wako ukataja kujua zaidi?

Nimeeleza kuwa mapinduzi hayawezi kuwa na utukufu je unakubaliana
na sababu nilizoweka?

Unajaribu na kujitahidi kukwepa lakini ukweli ni kuwa unayapamba mauaji
kwa chuki uliyokuwanayo.

Post zako zote hapa ni shahidi.
Unasema wewe hukuwepo wala mimi sikuwapo.

Umekosea.

Mimi nilikuwapo na baba yangu alikuwa na uhusiano mkubwa sana na
jamaa wengi kutoka Zanzibar toka miaka ya 1950s au kabla.

Kwenye varanda ya nyumbani kwetu ukutani kulikuwa na picha moja
waki vijana watatu.

Katikati alikuwa baba yangu, Said Salum na pembeni alikuwa Jaha
Ubwa
na Abdulaziz Twala.

Picha hii ilipigwa kabla ya mapinduzi.

Baada ya mapinduzi Jaha na Twala waliuliwa na baba yangu hakuweza
kuitazama hii picha akaitungua ukutani na sijui iko wapi.

Nina kumbukumbu ya ''June Riots,'' za 1963 kwa kuona katika gazeti la
Ngurumo nyumbani ingawa sikuwa nafahamu kwa uhakika nini khasa
kilikuwa kinaendelea huko Unguja na wazee wakizungumza nami nikisikia
mazungumzo yao.

Watu wa Dar es Salaam walikuwa na uhusiano wa karibu sana na watu wa
Zanzibar kwa hiyo vurugu zilizokuwa zinatokea visiwani zikiwagusa sana.

Mapinduzi yametokea wazee walikuwa na shauku ya kutaka kujua hali ya
jamaa zao kama wako salama au vipi.

Hii ndiyo yangu mimi kuwa ingawa sikuwa Zanzibar lakini nilikuwa najua kuwa
yametokea mapinduzi visiwani.

Katika jamaa zetu waliouawa nimekutajia Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala
lakini mauaji na mateso kwa baadhi ya jamaa zetu hayakuisha hapo na nilikuwa
wakati mwingine nikimsikia mzee akizungumza kwa sauti zay chini akiulizia mtu
fulani na fulani na inapokuwa habari hazikuwa nzuri akiinamsiha kichwa chini.

Wakati ule nilikuwa na umri wa miaka 14.

Nadhani unaweza kuona kwa haya machache ni kiasi gani wengi wetu tumeathirika
na tunasikitika sana tunapokusoma.
 
Paskali,
Unasema wewe umekuta neno tukufu linatumiwa kueleza mapinduzi
kwa hiyo hukuona sababu ya kutaka kujua kwa nini mapinduzi yaitwe
''matukufu.''

Unajaribu na kujitahidi kukwepa lakini ukweli ni kuwa unayapamba mauaji
kwa chuki uliyokuwanayo.
Post zako zote hapa ni shahidi.
Nadhani unaweza kuona kwa haya machache ni kiasi gani wengi wetu tumeathirika
na tunasikitika sana tunapokusoma.
Sultan Seyyid Said amekuja Zanzibar mwaka 1832, naamini unakijua fika alichowafanya watu aliowakuta Zanzibar kwa miaka yote zaidi ya 130, na hakuna yoyote aliyehadithiwa kilichotokea na aliyeandika kilichokuwa kinatokea, hivyo hakuna anayesikitika!, labda nikukumbushe tuu kidogo
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu wali-teswa, -hasiwa, -bakwa, na kuuawa kinyama!

Lakini kwa kilichotokea ile 1964, kwa vile mmehadithiwa, na wengi wengi mmeathirika ndio maana mnasikitika mnaponisoma, kitu pekee ninachoweza kusema ni poleni sana!.

Na ili kuukata mzizi wa fitna kama Mapinduzi yale yalikuwa matukufu au mauaji, ifanywe research kupima pros na cons za mapinduzi yale, pros zikizidi, then ni haki na halali kuyaita Mapinduzi Matukufu, na cons zikizidi, then tuyaite mauaji ya Zanzibar ya mwaka 1964, lakini katika mapinduzi yote ya umagwaji damu yanapotokea popote duniani, siku zote huwa kuna casualities na heroes, ukiandika chochote kwa kuwatumia wahanga wa casualties tegemea machungu, na kuyaita mauaji ya kimbari, mauaji ya halaiki etc, lakini ukiandika kuhusu the heroes, tegemea watasifu utukufu wa mapinduzi hayo na kuyaita Mapinduzi Matukufu na vibwagizo vya Mapinduzi Daima!.

Mimi bado nasisitiza Zanzibar wanahitaji the truth and reconciliation commission kuponya makovu ya Mapinduzi.

Pole tena.

Paskali
 
Uandishi ni uwezo, ni kipaji, ni karama, wengine kama kina wamejaaliwa kipaji hicho na karama hizo, sisi wengine hatukujaaliwa, ila nasi pia ukweli wa mapinduzi yale tumeosoma, sasa unapotokea ukweli ule unapowekwa pembeni na badala yake kuletwa urongo, uwezo wetu ni kusema tuu kuwa huo ni urongo!. Yale ni kweli yalikuwa ni Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na sii uvamizi kama uongo unavyodai!, mapinduzi yale yameleta neema, usawa na ustawi!. Utawala wa Sultani licha ya kuleta ustawi katika visiwa hivyo, pia ulikuwa ni utawala dhalimu uliowafanyia wenye visiwa vyao madhila mengi mabaya na ukatili wa kutisha!.

Mwaabu alipokuja Zanzibar ile 1832, aliwakuta wenyeji, akavamia visiwa hivyo na kuvitwaa kama vyake, akaitafisha adhi yote kuwa ya Waaabu, wenyeji walikodishiwa!. Mapinduzi yale yamewakomboa wenye nchi yao sasa wana adhi yao na hawakodishiwi tena bali ni wamiliki!. Ukisikiliza upande wa waliopinduliwa, utaegemea upande mmoja wa urongo tuu na kukosa kuusikia ukweli!. Pasco
Paskali NAKUBALIANA na KILA NENO katika aya hizi. Uandishi ni KARAMA (pia ni SANAA na SAYANSI). Kuwa na Mazungumzo ya pande zenye MRENGO tafauti ni hatua ya kwanza kuonesha UKWELI...na kumwongoza MTAZAMAJI (wa TV), Msikilizaji (wa Redio) kuuona uhalisia ama ukweli..
 
Hivi we jamaa pascal embu tupe ushahidi wa kuhadithiwa mapinduzi na mwanamapinduzi maana the way unaongea inaonekana km unatumia mawazo yako na ushabiki, maana mzee Mohammed said huwa anatupaga ushahidi wa mengi anayoyasema
 
Back
Top Bottom