Jukwaa la Historia

On JF:

Usiku ndiyo pana utulivu wa kufanya kazi.
2 Reactions
2 Replies
171 Views
https://youtu.be/i4J4g0leVbo?si=UgS7KBKeS87qWVXw
0 Reactions
0 Replies
72 Views
MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte...
3 Reactions
7 Replies
320 Views
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel. Ni kitu...
3 Reactions
36 Replies
763 Views
Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mapango ya Longyou ni mojawapo ya kazi za usanifu zilizo kimya zaidi katika historia ya kale. Zikiwa zimefichwa chini ya shamba huko Zhejiang, Uchina, ziligunduliwa tu katika miaka ya 1990-kwa...
3 Reactions
7 Replies
483 Views
https://youtu.be/XfpiwoY773Q?si=AatqVE4wrUgwhP7w
0 Reactions
5 Replies
340 Views
https://youtu.be/E8LKW0eDgv8?si=llJuTZa5GmFOT7dg
0 Reactions
0 Replies
181 Views
NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA? JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954 Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia...
6 Reactions
19 Replies
374 Views
Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha...
4 Reactions
2 Replies
203 Views
Februari 26, 1982 Tanzania ilitikisika baada ya kutokea taarifa kuwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC) imetekwa. Lilikuwa ni tukio la kwanza la aina yake kuwahi kutokea katika nchi hii na...
17 Reactions
762 Replies
246K Views
Wadau naomba kujua historia ya "Uncle Tom " Thomas Rugakingira aliyekuwa kiongozi wa waliotaka kumpindua Hayati Mwalimu NYERERE MIAKA ya 70
3 Reactions
11 Replies
7K Views
Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
https://youtu.be/nVH5swbaWcY
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana. Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Mnamo April 1986, Walimu takriban 20 waliandamana nje ya mkutano wa mwaka wa Baraza la Kitaifa la Walimu wa Hisabati (NCTM) mjini Washington, D.C., wakipinga sera mpya iliyoruhusu matumizi ya...
2 Reactions
4 Replies
278 Views
BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom