THE LONG ROAD TO DAWN.
Uganda's Story, Told in Shadows and Fire
PART 1
Uganda’s independence did not arrive as a sudden miracle. It was shaped in silence, suffering and stubborn hope. Hope...
Nilikuwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), maarufu kama Archbishop Mgulunde Learning Resource Center, mwanzoni mwa Novemba, nilipokutana na kitabu cha zamani...
1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu
2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote...
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916
Mazishi
Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba...
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika.
Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya...
MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja:
''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada...
Wakuu, katika pitapita zangu kwenye vitabu vya history nilikuja kukutana na huu wimbo wetu pendwa tuliouimba shule za msingi na hata sasa hivi watoto wanaendelea kufundishwa wimbo wa Ana Ana do...
Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya...
Historia ya Umoja wa Kisovyeti imejaa simulizi nzito za siasa, mapinduzi na hofu isiyo na kipimo. Lakini miongoni mwa simulizi hizo, kifo cha Nadezhda Sergeyevna Alliluyeva, mke wa pili wa Joseph...
DK ASIYETAKA KUJIITA DK: JAMES ZOTTO — KUTOKA LIULI HADI MEZA ZA AMANI ZA UMOJA WA MATAIFA
SEHEMU YA 1:👇👇
Kuna wasomi wanaobeba vyeo, na wapo wanaobeba dhamira. James Zotto ni wa...
Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio.
Mbasi
Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu...
Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki.
Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji.
Wanawalaumu kwa kutunyima...
Wakati vita baridi ikianza kupamba moto miaka ile ya 1950s na 1960s, shirika la kijasusi la CIA lilianzisha program kadhaa zilizohusisha utengenezaji wa silaha za kibayolojia au tuseme silaha...
Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa.
Serikali yake ilitekeleza...
Mapinduzi dhidi ya Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo huru, Patrice Lumumba, mwaka 1960, yamebaki kuwa moja ya sura za giza katika historia ya Afrika. Ingawa Lumumba alikuwa kiongozi aliyechaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.