Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike ili kumrejesha Sultani kuitawala Zanzibar!.

Kwa vile sii wengi wanaoijua historia ya huyo Sultani wakidhani ni muendelezo wa Sultani Sayyid Said, kumbe sio.

Sultani aliyepinduliwa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ni Sultani kibaraka wa wakoloni ambao walimuokota na kumpachika usultani baada ya wakoloni hawa kulivamia kasri la Sultani na kumuua Sultani halisi kisha kumpachika Sultan bandia ambaye ni kibaraka wao, Sultan Hamad bin Thuwaini, mwaka 1893. Na baada ya kutawala kwa miaka 3 tuu, terehe 26 Agosti 1896 ndugu yake Khalid bin Barghash alikula njama na kumuua kwa sumu na kuutwa usultani!. Wangereza hawakukubali Sultan kibaraka wao kuondoshwa hivyo walilivamia kasri la Sultan kwa kulipiga mabomu, hadi Sultan Khalid bin Barghash kutoroka na tangu pale waliendelea kuweka ma Sultan vibaraka wao kwa kuanzia na Sultan Hamud, wakaja hadi kwa Sultan Jamsid na ndio maana alipopinduliwa alikimbilia London na sio Oman!.

Fuatilia kisa hiki

The Shortest War in History
By Ben Johnson, Editor COMMENTS

113479_mainImage.jpg

The little known Anglo-Zanzibar War of 1896 is generally considered to be the shortest war in history, lasting for a grand total of 38 minutes.

The story begins with the signing of the Heligoland-Zanzibar treaty between Britain and Germany in 1890. This treaty effectively drew up spheres of influence between the imperial powers in East Africa; Zanzibar was ceded to British influence, whilst Germany was given control over mainland Tanzania.

With this new found influence, Britain declared Zanzibar a protectorate of the British Empire and moved to install their own ‘puppet’ Sultan to look after the region. Hamad bin Thuwaini, who had been a supporter of the British in the area, was given the position in 1893.

Build up to the conflict

khalidofzanzibar.jpg
Hamad ruled over this relatively peaceful protectorate for just over 3 years until, on August 25, 1896, he died suddenly in his palace. Although the truth will never be fully known about the causes for his death, it is widely believed that his cousin, Khalid bin Barghash (pictured to the right), had him poisoned.

This belief is compounded by the fact that within a few hours of Hamad’s death, Khalid had already moved into the palace and assumed the position of Sultan, all without British approval.

Needless to say the local British diplomats were not at all happy with this turn of events, and the chief diplomat in the area, Basil Cave, quickly declared that Khalid should stand down. Khalid ignored these warnings and instead starting gathering his forces around the Palace.

These forces were surprisingly well armed, although it’s worth noting that quite a few of their guns and cannons were actually diplomatic gifts that had been presented to the former Sultan over the years! By the end of 25th August, Khalid had his palace secured with almost 3,000 men, several artillery guns and even a modestly armed Royal Yacht in the nearby harbour.

basilcave.jpg
At the same time, the British already had two warships anchored in the harbour, the HMS Philomeland theHMS Rush, and troops were quickly being sent ashore to protect the British Consulate and to keep the local population from rioting. Cave (pictured to the right) also requested backup from another nearby British ship, the HMS Sparrow, which entered the harbour on the evening of the 25th August.

Even though Cave had a significant armed presence in the harbour, he knew that he did not have the authority to open hostilities without express approval of the British government. To prepare for all eventualities, he sent a telegram to the Foreign Office that evening stating: “Are we authorised in the event of all attempts at a peaceful solution proving useless, to fire on the Palace from the men-of-war?” Whilst waiting for a reply from Whitehall, Cave continued issuing ultimatums to Khalid but to no avail.

The next day, two more British warships entered the harbour, the HMS Racoon and the HMS St George, the latter carrying Rear-Admiral Harry Rawson, commander of the British fleet in the area At the same time, Cave had received a telegraph from Whitehall stating:

"You are authorised to adopt whatever measures you may consider necessary, and will be supported in your action by Her Majesty's Government. Do not, however, attempt to take any action which you are not certain of being able to accomplish successfully."

zanzibarpalace.jpg

Zanzibar Palace in the late 1800's

The final ultimatum to Khalid was issued on the 26th August, demanding that he leave the palace by 9am the next day. That night, Cave also demanded that all non-military boats leave the harbour in preparation for war.

At 8am the next morning, only one hour before the ultimatum expirated, Khalid sent a reply to Cave stating:

"We have no intention of hauling down our flag and we do not believe you would open fire on us."

Cave replied in true 19th century British diplomatic style, stating that he had no desire to fire upon the palace “but unless you do as you are told, we shall certainly do so.”

The conflict
That was the last Cave heard from Khalid, and at 9am the order was given for the British ships in the harbour to begin bombarding the palace. By 09:02 the majority of Khalid’s artillery had been destroyed, and the palaces wooden structure had started to collapse with 3,000 defenders inside. It is also around this time, two minutes after the bombardment started, that Khalid is said to have escaped through a back exit of the palace, leaving his servants and fighters to defend the palace alone.

By 09:40 the shelling had ceased, the Sultan’s flag pulled down, and the shortest war in history had officially ended after only 38 minutes.

palaceafterbombardment.jpg

Zanzibar Palace after the bombardment

For such a short war, the casualty rate was surprisingly high with over 500 of Khalid’s fighters killed or wounded, mainly due to the high explosive shells exploding on the palace’s flimsy structure. One British petty officer was also severely injured, but later recovered in hospital.

marineswithguns.jpg

British marines standing next to a captured artillery gun

With Khalid out of the way, the UK was free to place the pro-British Sultan Hamud on the throne of Zanzibar, and he ruled on behalf of Her Majesty's Government for the next six years.

As for Khalid, he managed to escape with a small group of loyal followers to the local German Consulate. Despite repeated calls from the British for his extradition, he was smuggled out of the country on October 2nd by the German navy and taken to modern day Tanzania. It was not until British forces invaded East Africa in 1916 that Khalid was finally captured and subsequently taken to Saint Helena for exile. After ‘serving time’, he was later allowed to return to East Africa where he died in 1927.

Hivyo kuna Wanzanzibari wanaoshadidishwa kushinikizwa kuuvunja huu Muungano wetu adhimu Bila kujua malengo ya kificho ya washadidishaji hao kwa kutanguliza malengo ya hadaa kumbe lengo ni kuirejesha Zanzibar kwa wakoloni wale wale tuliowatimua na Sultani wao kibaraka na serikali yao kibaraka iliyopinduliwa.

Wanzanzibari msikubali kudanganywa!

Paskali
 
Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike ili kumrejesha Sultani kuitawala Zanzibar.
Hivi hadi hii leo propaganda za kijinga kama hizi mnazo tu bado? this is 21st century hakuna mjinga atakae meza ujinga huo hasa kwavile kwa miaka 53 bado wazanzibari hawajaona ile dhamira ya mapinduzi
 
Pascal umenishangaza sana, sikutegemea mawazo kama haya yatoke kwako, unarudia yaleyale ya 1992, tukiruhusu vyama vingi nchi itaingia kwenye machafuko na umwagaji damu mkubwa, vitisho kwa wananchi, tafadhali acha siasa za kale hizo
 
Paskali bhana kuna tatizo lipi wazanzibar wakiwa na nchi yao iliyopata Uhuru 1963?
Unatuaminisha vipi kua huo ni ukoloni mwingine wakati nasisi wazanzibar tunaona kua Muungano ni moja ya njia inayotumiwa wa Tanganyika kuifanya Zanzibar kua koloni lake..?
Mwanangu juzi alinipa swali la History linasema hivi..The independence of Zanzibar is a mirage because of the Union.Discuss
 
nilielewa kuwa pemba na unguja kuna utata wakati nilipokutana nao nchi za nje. wapemba walikuwa wanalalamika kuonewa hawapewi uongozicwa nchi cnk. sasa mbona kiongozi ni mpemba? Pia mbona wapemba ni wasomi san pia na wako kwenye ajira? labda waseme kama wanabagiliwa tujue
 
Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike ili kumrejesha Sultani kuitawala Zanzibar.

Kauli kama hii inayotoka kwa mtu anajiita msomi iko haja tukimuunga mkonoDr.Joyce Ndalichako, Waziri wa elimu,wa kuzipinga shahada za kuunga unga. Hii ni aibu. Hata mzanzibari aliepata elimu ya madrasa tu hakubali upumbavu huo aliouandika Paskali. Kudhihirisha upumbavu wake asiwatie na kuwaburura kwenye kundi wana bodi wengine wa Baraza. Kama unataka kujua historia ya Zanzibar nenda Zanzibar ukasomeshwe. Sultani gani anaetaka kurudishwa Zanzibar kutawala. NiJamshid? Basi kibaraka wa kwanza atakuwa Komandoo Dr.Salmin Amour, hadharani akimtaka Jamshid arudi kwao Zanzibar kunako mavani ya familia yake.Hakuna mtu anaouchokoa Muungano ila unajichokoa wenyewe kwa kiburi cha Tanganyika kukataa kufuata taratibu waliokubaliana kwenye Articles of Union
2.Baada ya Zanzibar kupata uhuru wake kutoka uingereza, utawala wa Zanzibar ulisita kuongozwa na masultan. Zanzibar iliongozwa na Waziri Mkuu Moh'd Shamte. Zanzibar ilikuwa "Constitutional monarchy" sawa na uingereza na Uganda. Zanzibar kuanzia 1963 ilikuwa haitawaliwi na Sultan. Sasa hizo nyimbo na ngonjera za Paskali zinatokea wapi? Lumumba au Kisonge?

Kwa vile sii wengi wanaoijua historia ya huyo Sultani wakidhani ni muendelezo wa Sultani Sayyid Said, kumbe sio.
Ni kweli sio wengi wanaoijua historia hiyo ikiwa ni pamoja na wewe. Unasukuma tu kama kabila lako.
As for Khalid, he managed to escape with a small group of loyal followers to the local German Consulate. Despite repeated calls from the British for his extradition, he was smuggled out of the country on October 2nd by the German navy and taken to modern day Tanzani
Kwa vile hii kazi ilikuwa ya"copy and paste" kama msomi hutakiwi kubadilisha maneno au majina kutoka "original Script".Hapa Unazungumzia historia, Khalid alitoroshewa German East Africa au Tanganyika.

This belief is compounded by the fact that within a few hours of Hamad’s death, Khalid had already moved into the palace and assumed the position of Sultan, all without British approva
Hivi Pascal baei hata huna shukurani. Uhabithi wa Khalid ulijuulikana na moja ya kuwa alikuwa anapinga kusitishwa biashara ya utumwa. Zanzibar ilikuwa ni " Protectorate" Mwingereza ndio mtawala mkuu na sio masultan kama unavyotaka ifahamike. Sultan Humud " kibaraka " ndio aliohitimisha biashara ya utumwa ZanzibarPaskali unapaswa kumshukuru huyo " kibaraka" vinginevyo wasukuma mngebaki kuuzwa kama mboga sokoni.

Usiwadanganye watu wasioelewa , bora uwape ukweli wa kipigo Ccha kura walichopewa ASP 1961 na hatimae UKAWA WA ZNP/ZPPP wakachukua hatamu kuiongoza nchi kidomokrasia. Vipigo hivyo vya kura vinaendelea na october 2015 wengi walikishuhudia, tena kipigo "kitakatifu" kama yalivyo mapinduzi yenyewe.
 
Wanabodi,

Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike ili kumrejesha Sultani kuitawala Zanzibar.

Kwa vile sii wengi wanaoijua historia ya huyo Sultani wakidhani ni muendelezo wa Sultani Sayyid Said, kumbe sio.

Sultani aliyepinduliwa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ni Sultani kibaraka wa wakoloni ambao walimuokota na kumpachika usultani baada ya wakoloni hawa kulivamia kasri la Sultani na kumuua Sultani halisi kisha kumpachika Sultan bandia ambaye ni kibaraka wao na ndio maana alikimbilia London na sio Oman.

Fuatilia kisa hiki

The Shortest War in History
By Ben Johnson, Editor COMMENTS

113479_mainImage.jpg

The little known Anglo-Zanzibar War of 1896 is generally considered to be the shortest war in history, lasting for a grand total of 38 minutes.

The story begins with the signing of the Heligoland-Zanzibar treaty between Britain and Germany in 1890. This treaty effectively drew up spheres of influence between the imperial powers in East Africa; Zanzibar was ceded to British influence, whilst Germany was given control over mainland Tanzania.

With this new found influence, Britain declared Zanzibar a protectorate of the British Empire and moved to install their own ‘puppet’ Sultan to look after the region. Hamad bin Thuwaini, who had been a supporter of the British in the area, was given the position in 1893.

Build up to the conflict

khalidofzanzibar.jpg
Hamad ruled over this relatively peaceful protectorate for just over 3 years until, on August 25, 1896, he died suddenly in his palace. Although the truth will never be fully known about the causes for his death, it is widely believed that his cousin, Khalid bin Barghash (pictured to the right), had him poisoned.

This belief is compounded by the fact that within a few hours of Hamad’s death, Khalid had already moved into the palace and assumed the position of Sultan, all without British approval.

Needless to say the local British diplomats were not at all happy with this turn of events, and the chief diplomat in the area, Basil Cave, quickly declared that Khalid should stand down. Khalid ignored these warnings and instead starting gathering his forces around the Palace.

These forces were surprisingly well armed, although it’s worth noting that quite a few of their guns and cannons were actually diplomatic gifts that had been presented to the former Sultan over the years! By the end of 25th August, Khalid had his palace secured with almost 3,000 men, several artillery guns and even a modestly armed Royal Yacht in the nearby harbour.

basilcave.jpg
At the same time, the British already had two warships anchored in the harbour, the HMS Philomeland theHMS Rush, and troops were quickly being sent ashore to protect the British Consulate and to keep the local population from rioting. Cave (pictured to the right) also requested backup from another nearby British ship, the HMS Sparrow, which entered the harbour on the evening of the 25th August.

Even though Cave had a significant armed presence in the harbour, he knew that he did not have the authority to open hostilities without express approval of the British government. To prepare for all eventualities, he sent a telegram to the Foreign Office that evening stating: “Are we authorised in the event of all attempts at a peaceful solution proving useless, to fire on the Palace from the men-of-war?” Whilst waiting for a reply from Whitehall, Cave continued issuing ultimatums to Khalid but to no avail.

The next day, two more British warships entered the harbour, the HMS Racoon and the HMS St George, the latter carrying Rear-Admiral Harry Rawson, commander of the British fleet in the area At the same time, Cave had received a telegraph from Whitehall stating:

"You are authorised to adopt whatever measures you may consider necessary, and will be supported in your action by Her Majesty's Government. Do not, however, attempt to take any action which you are not certain of being able to accomplish successfully."

zanzibarpalace.jpg

Zanzibar Palace in the late 1800's

The final ultimatum to Khalid was issued on the 26th August, demanding that he leave the palace by 9am the next day. That night, Cave also demanded that all non-military boats leave the harbour in preparation for war.

At 8am the next morning, only one hour before the ultimatum expirated, Khalid sent a reply to Cave stating:

"We have no intention of hauling down our flag and we do not believe you would open fire on us."

Cave replied in true 19th century British diplomatic style, stating that he had no desire to fire upon the palace “but unless you do as you are told, we shall certainly do so.”

The conflict
That was the last Cave heard from Khalid, and at 9am the order was given for the British ships in the harbour to begin bombarding the palace. By 09:02 the majority of Khalid’s artillery had been destroyed, and the palaces wooden structure had started to collapse with 3,000 defenders inside. It is also around this time, two minutes after the bombardment started, that Khalid is said to have escaped through a back exit of the palace, leaving his servants and fighters to defend the palace alone.

By 09:40 the shelling had ceased, the Sultan’s flag pulled down, and the shortest war in history had officially ended after only 38 minutes.

palaceafterbombardment.jpg

Zanzibar Palace after the bombardment

For such a short war, the casualty rate was surprisingly high with over 500 of Khalid’s fighters killed or wounded, mainly due to the high explosive shells exploding on the palace’s flimsy structure. One British petty officer was also severely injured, but later recovered in hospital.

marineswithguns.jpg

British marines standing next to a captured artillery gun

With Khalid out of the way, the UK was free to place the pro-British Sultan Hamud on the throne of Zanzibar, and he ruled on behalf of Her Majesty's Government for the next six years.

As for Khalid, he managed to escape with a small group of loyal followers to the local German Consulate. Despite repeated calls from the British for his extradition, he was smuggled out of the country on October 2nd by the German navy and taken to modern day Tanzania. It was not until British forces invaded East Africa in 1916 that Khalid was finally captured and subsequently taken to Saint Helena for exile. After ‘serving time’, he was later allowed to return to East Africa where he died in 1927.

Hivyo kuna Wanzanzibari wanaoshadidishwa kushinikizwa kuuvunja huu Muungano wetu adhimu Bila kujua malengo ya kificho ya washadidishaji hao kwa kutanguliza malengo ya hadaa kumbe lengo ni kuirejesha Zanzibar kwa wakoloni wale wale tuliowatimua na Sultani wao kibaraka na serikali yao kibaraka iliyopinduliwa.

Wanzanzibari msikubali kudanganywa! .

Paskali

PASKALI MTOTO WA LUMUMBA ; NJAA INAKUHUJUMU ??? UMEANZA KUPONEA MAEMBE ???

KUNA MUUNGANO WA WAPI AU UNAOTA ???

HIVI UNAJIFANYA SIKIO LISOSIKIA DAWA ?? AU NAMBA ZIMEKUWA HAZISOMEKI TENA ??? KAJIUNGE NA LIPUMBA MSUKUMA MWENZAKO UPATE CHOCHOTE KWENYE FUNGU LA WIZI

NJAA KITU HATARI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom