Jukwaa la Historia

On JF:

Kuna huyu Mngazija mmoja mwenye akili sana aliyeitwa Selim bin Abakari. Wakati Wajerumani ndiyo wanaanza kutawala Tanganyika huyu Selim Alikuwa akifahamu kijerumani, hivyo akaajiriwa na afisa...
13 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika jiji la Agra nchini India,kwenye kingo za mashariki za mto Yamuna limesimama jengo mashuhuri kuliko yote nchini India,TAJ MAHAL. TAJ MAHAL iliamriwa kujengwa mwaka 1632 na mtawala wa tano...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Husika na kichwa hapo juu je nini kinafanya watu wafe humo ndani?? Msaada
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MBARAKA MWINSHEHE MWARUKA: SOLOIST INTERNATIONAL Katika miaka ya 1980 nilitaka kuandika maisha ya Mbaraka Mwinshehe. Nilianza utafiti kwa kufanya mazungumzo na jamaa wa Morogoro ambao waliishi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye ndondoo za mzee wetu huyu marehemu atushushie. Inasemekana alikuwa mfadhili wa TANU na tajiri wa Kariakoo.
4 Reactions
41 Replies
15K Views
UHURU WA ZANZIBAR TAREHE 10 DECEMBER 1963 Naikumbuka siku hii kama jana vile. Nilikuwa na umri wa miaka 11 na vitu viwili vitatu ndivyo vilivyonasa kwenye kichwa changu. Kwanza ni kumuona Mzee...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
"Nimevutiwa na hiki kipengele nimejikuta napata swali pia. Lakini pia katika hutuba yake ya kuagana na wazee wa Dar 1985, alieleza kwa ufasaha jinsi wenyeji wa Dar (moslems in particular)...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wadau Nawasalimu ktk kusikiliza TBC Leo nimemkumbuka Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Michezo kilichokuwa kinarushwa na RTD siku hizi TBC kila siku saa 1.45 jioni. Mtangazaji Wa Kipindi hiki...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana...
24 Reactions
72 Replies
11K Views
23 December 2022 Same, Kilimanjaro Tanzania CHIFU JOSEPH MBAZI II ATAWAZWA LEO, KUENDELEZA HISTORIA YA JAMII Tukio hilo adhimu la kuendeleza historia ya sehemu hiyo leo katika tarafa ya Mbaga...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
C&P WACHAGGA Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi? Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye...
19 Reactions
75 Replies
22K Views
HISTORIA YA WILAYA YA NGARA, ASILI YA MAJINA MBALIMBALI, UTAMADUNI WA WAKAZI WA NGARA NA CHANZO CHA JINA LA KABILA LA WAHANGAZA WANAOKAA WILAYANI NGARA. ASILI YA NGARA Wilaya ya Ngara ni wilaya...
15 Reactions
90 Replies
51K Views
Kuna wanawake wengi waliokuwa majimboni waliopigania uhuru wa Tanganyika. Bahati mbaya wengi wao hawafahamiki kabisa. Baadhi yao nimeweka picha zao hapo chini. 1. Bi. Halima Khamis na Julius...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutana na Matare Matiko Rais wa DARUSO enzi za mgomo UDSM 1989 Mwandishi Wetu Toleo la 321 16 Oct 2013 Mwaka 1989, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiliingia katika mgomo mkubwa wa kihistoria...
7 Reactions
31 Replies
13K Views
MUULIZAJI KAULIZA KWA NINI SYKES WANAREJEWA NA KUREJEWA? ''Nauliza hakuna familia nyengine ila ya akina sykes ilo shiriki? Kugomboa tanganyika naona kila mara tunawarejea hao hao?'' Namjibu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
MKATABA WA FEI TOTO NA MKATABA WA JOHNNY FONTAINE Naamini ni wachache wataelewa. Mario Puzo aliandika kitabu kilichokuja kuwa maarufu na kikatengenezwa filamu iliyokuja kuwa maarufu kupita...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
26 DECEMBER 2022 Mwandishi wa habari Ben Mwanantala anakwenda na kufanya safari kufahamu historia ya reli ya TAZARA kwa undani kabisa Mengi mazuri kuhusu huduma bora zaidi 2022 / 2023 Source ...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
IMESANIFIWA NAMI NDUGU YAKO GOOD BEATUS KALIPUKA.
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom