Ndugu Wanajamii habari, karibuni sana kwenye mdahalo unaohusu historia ya Afrika ilipotoka, Ilipo na Inapoelekea.
Mahali: Mbezi Beach, Daniel Chongolo Street, mkabala na Shule ya Msingi Daniel...
Historia Fupi ya Vitukuu vya Nabii Nuhu
Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu ya Biblia Mwanzo 10:1-32 Biblia imeonyesha uzao wa watoto wa Nuhu ambao ni Shemu, Hamu na Jafeti uzao ni kama ifuatavyo...
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa...
Kuna historia zinadai kuwa Wayahudi walikuwa ni watu weusi na walipoondoka israeli mpaka wanarudi sio wayahudi wale.
Ilo linathibitishwa na vitabu vingi ni kweli?
Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona.
Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya...
BI. TITI MOHAMED AWAFICHUA WALIOKUWA WAKIMUONGOZA KATIKA HOTUBA ZAKE ZA KUHAMASISHA WANANCHI
Makala hiyo hapo chini nimeandika baada ya kusona video fupi ya mahojiano ya Bi. Titi.
Haya yaliyomo...
Paa la Afrika.
Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika...
Likely dating to between 2,200 and 2,400 years ago, the toilet — consisting of a bowl and pipes leading to an outdoor pit — was unearthed in the ruins of the palace in Yueyang City Ruins, an...
Je? Air force one inasiri gani nzito inayo fanya ndege hio Ya kimarekani inayo mbeba raisi wake kuogopwa zaidi,Watu wengi wamekua na mawazo na maswali mengi kuhusu Maajabu ya ndege hii ambayo...
Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho.
Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi...
HISTORIA YA KADI YA TANU 1954
Ndugu yangu mmoja kanirushia kadi ya TANU nami kwa kuonyesha shukurani yangu kwake namuwekea hapo chini historia ya kadi ya TANU kama nilivyoeleza katika kitabu cha...
Wanazuoni.
Naomba anayefahamu asili ya Neno Tanganyika ni ipi? Ingawa nasikia hata DRC Kuna sehemu inaitwa Tanganyika.
Wazee wa zaman au wasomi wa historia msaada tafadhari
RASHID RAMADHANI NYEMBO NA ABDALLAH SAID KASONGO: HISTORIA YA VIJANA WA TANU NA PAFMECA 1958
Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959.
Imekuwa jambo la...
"CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI)
Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu.
Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha.
Picha...
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Langi ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon...
Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.