Jukwaa la Historia

On JF:

Historia inasema kuwa binadamu wa kwanza alianza kuonekana hapa Tanzania huko Arusha laitoria na kuna nyayo ambazo utafiti unaonesha ni miaka milioni 4 sasa tangu kuwepo kwa binadamu. Lakini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 1955 Nchini Marekani kuliwahi kushuhudiwa mgomo mkubwa wa watu weusi wakazi wa mji wa Montgomery wakisusia kutumia mabasi ya umma waendapo na warudipo nyumbani kutoka kazini kwa sababu...
2 Reactions
8 Replies
811 Views
BI. TITI MOHAMED NA RAIS ALI HASSAN MWINYI IKULU SIKU YA EID EL FITR 1989 Picha hiyo ya Bi. Titi Mohamed na Raid Ali Hassan Mwinyi nimeitoa kwenye "scrap book" yangu yenye umri wa miaka 44...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
NYARAKA ZA SYKES ZINAVYOELEZA HARAKATI ZA KUDAI UHURU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Naomba ruhusa nianze na historia ya babu yangu. Footnote No. 10 inaeleza...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Historia Makala: Historia ya Moroko Moroko ya Kale Habari za kimaandishi za kwanza ni kutoka karne za kwanza KK. Wafinisia walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilibaki nchi ya Waberber...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
NYANGE BINT CHANDE ALIFATA NYAYO ZA BI. TITI MOHAMED Picha hiyo inamuonyesha Bi. Nyange bint Chande na mumewe Bwana Mangara wakiwa na wanafamilia yao. Nyange bint Chande alitoa nyumba yake kuwa...
1 Reactions
2 Replies
619 Views
Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita. Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa...
24 Reactions
233 Replies
22K Views
KABURI LA TEWA SAID TEWA MAKABURI YA MWINYIMKUU MAGOMENI Tewa Said Tewa kwake nililokuwa mtoto wake mwanae kabisa. Mzee Tewa Said Tewa akijuana na baba yangu toka udogoni na ujana wao. Mzee...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Durban’s Zanzibari Makua community struggles for identity written by Zahid Jadwat...
2 Reactions
0 Replies
465 Views
JIONI MOJA NA BI. TITI NYUMBANI KWAKE UPANGA MIAKA YA 1980 Nimewakuta watoto hawa leo asubuhi hapa Ikwiriri, Rufijib wanaitazama picha ya Bi. Titi nikawaomba tupige picha mimi na wao na Bi. Titi...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Pengine Kuna watu wanasikia Mengi kuhusu Makao makuu ya kiserikali ya Nchi ya Marekani, Washington DC lakini wasijue Nini chanzo Cha jina la huo Mji ambamo Imejengwa ikulu ya Nchi hiyo The White...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
In Praise of Ancestors Hii ni makala yangu ya kwanza kuchapwa na jarida la Africa Events (London) mwaka wa 1988. Gazeti hili halikuruhusiwa kusambazwa na lilikusanywa kutoka kwa wauzaji. Nakala...
1 Reactions
0 Replies
654 Views
SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu. Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye...
1 Reactions
0 Replies
698 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania. Imethibitika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
HISTORIA YA BI. TITI KATIKA KITABU CHA ABDUL SYKES 1955 Mikutano ya TANU ya siku za mwanzo ilikuwa ikifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mbele ya Princess Hotel. Kwenye jukwaa lililojengwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF kumekua navhistoria tofauti tofauti na story nyingi kuhusu Hawa viumbe alienswanaosadikika kuepo au kuishi katika sayari nyingine, na wamekua wakitembelea dunia Mara kwa Mara. Swali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Princess Diana's sapphire blue engagement ring may be one of the most recognizable pieces of jewelry in history, but not everyone was a fan of the stunning blue bauble. As re-enacted on season...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
BI. TITI MOHAMED BADO ANAISHI KATIKA SIASA, MAENDELEO NA FIKRA ZA WANAWAKE WA TANZANIA Kwa kipindi cha majuma mawili kabla ya maadhimisho rasmi ya kumbukumbu ya Bi. Titi Mohamed Ikwiriri nimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Back
Top Bottom