Jukwaa la Historia

On JF:

Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
KITABU CHA MAISHA YA KANALI AYUBU SIMBA Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka wa 1988 katika kuadhimisha Miaka 30 ya Azimio la Busara Tabora alisema CCM iwatafute wale wote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kaka Mohammed Said, Kwanza nakuamkia. Pili, khutba zako kwenye social media zinaendelea kuwapotosha watu kuhusu mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Bila ya mapinduzi haya wengi wetu...
10 Reactions
336 Replies
16K Views
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa...
43 Reactions
117 Replies
7K Views
‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba. Hababi alipata...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950. Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao. Kwa...
2 Reactions
0 Replies
491 Views
"Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Salam wanahistoria. Ninasoma Tasnifu ya Wangari Mathai iitwayo Unbowed, Kwenye sura ya Kwanza, nimekuta maelezo kuwa kuna wakenya waliletwa Tanganyika kupigana Vita ya Dunia, kati ya Muingereza...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Safari Yangu Nchini Sudani Kusini ------------------------ Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu. ------------------------ Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana...
41 Reactions
56 Replies
14K Views
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo...
22 Reactions
343 Replies
25K Views
Na Masudi Rugombana Huyu ndiye Baba wa uchumi wa China, ndiye aliyeasisi, aliyejenga na kusimamia ipasavyo misingi ya mfumo wa uchumi wa soko huria, na kufanya mageuzi mengi yanayoifanya leo hii...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
Watafiti wengi walianza kupata mwangaza baada ya kujiuliza ujenzi wa mapiramidi ya misri matatu kuendana na mtililiko wa nyota. Tafiti nyingine zikaja kuibua mapiramidi mengi kwa mtindo wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui kama hii stori iliwahi kuletwa humu jf mbaba anaitwa Walter Summerford ndio Mwanaume anaeshikilia rekodi ya kupigwa radi tatu akiwa hai na moja kaburini kwake. Walter ambae alikua Afisa wa...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ABDALLAH SAID KASSONGO NA PAFMECA 1958 SIKU KWA MARA YA KWANZA ''TANU YAJENGA NCHI ULIPOIMBWA'' Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959. Imekuwa jambo la...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
MKUTANO WA PAFMECA MOSHI 1959 Kanirushia ndugu yangu barua hii ya PAFMECA nami nimeiweka hapa sote tufaidi. Naweka hapo chini kipande kidogo kuhusu PAFMECA kutoka kitabu cha Abdul Sykes: Pan...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom