Historia ya Wachagga

Daddi

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
882
1,386
C&P

WACHAGGA

Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye kati ya vilima vya kati huko Ethiopia.

Je ni nani hawa falasha?
Falasha ni jamii ya kiyahudi ya kundi la Solomonic ambapo Malkia wa Ethiopia alifika Israeli na akazaa mfalme Sulemain na watoto wa, au kizazi kilichotokana na uzao wa Solomon na malkia huyu ndio wanaoitwa Falasha.

Mnamo mwaka 150 kabla ya Kristo kulitokea vita ambayo ilifanya falasha kutawanyika, kisa cha vita hiyo ulikuwa ni wivu tu wa kabila la amhara na tigrey kwa kuona kama falasha wanataka kuwatawala au wameongezeka sana na pia wakaona kama hao falasha wana akili nyingi sana,hivyo wakawafukuza kutoka eneo hilo la Amhara na Tigrey, wengine wakaenda Kaskazini na wengine wakateremka Kusini, walipokuwa wanawafukuza wakawa wanasema chaggy yaani wameteremka kwa lugha ya kitigrey.

Walioteremka wakaweka makazi yao kwenye eneo la waoromo karibu na mpaka wa Kenya, ambapo walikaa takribani miaka 200 na wakawa wengi , na ikaonekana wanataka kuwazidi wenyeji kwa kila jambo, kukatokea tena chuki iliyofanya wazidi kuteremka chini mpaka eneo la Borana, wakaweka tena makazi yao hapo na kuchanganyika na wenyeji wao ambao ni Borana. Eneo la Borana walikaa zaidi miaka 100,chuki na wenyeji ikatokea tena, na hivyo kuwalazimisha kuzidi kuteremka zaidi hadi Ukambani nchini Kenya, hapo walikaa takribani miaka 200 na kuzaliana sana na wenyeji.

Mwaka wa 400 baada ya Kristo walifurushwa tena na wakamba ambapo safari hii walielekea magharibi ya Ukambani na kuwasili eneo ambalo leo hii linaitwa Kilimanjaro, ambapo waliwakuta wenyeji ambao ni watu wafupi wanaoitwa WAMBUTI AU MBILIKIMO. Wakawapiga na kujitwalia eneo lote la Kilimanjaro. Mbilikimo hawo walitoroka na kuelekea Magharibi ya Kilimanjaro kuelekea Kongo.

Kuanzia mwaka huo wa 400, baada ya Kristo Wachagga [Yaani Wayahudi wa Kilimanjaro] wamekuwepo hapo hadi leo.

MIFANO YA MANENO YA KICHAGGA NA KIEBRANIA YANAYOFANANA.
1. YAVE [Kichagga] Ni sawa na YAHWE kwa Kiebrania [ambapo ni jina la Mungu].

2. ELI: Hili pia ni jina la Mungu kwa Kichagga na Kiebrania pia
Majina ya Kichagga yenye neno ELI, Mwisho au Mwanzo wa jina yamekuwepo uchaggani hata kabla ya kuingia Ukristo hapa Kilimanjaro. Mfano: Wangaeli, Elinganya, Shafuraeli. Eliufoo, Elisaria, Apaeli.

TABIA ZA WACHAGGA
Wachagga ni watu werevu sana na wenye Akili nyingi sana
 Wachagga huwa hawapendi kupata usumbufu wanapotafuta maisha
 Wachagga ni watu wachapakazi kuliko kabila lolote lile hapa Africa.
 Wachagga ni watu makini sana na wanajua kutumia fursa yeyote iliyo mbele yao ambayo watu wengine wanaona sio fursa.
 Wachagga wanajua kutunza siri sana na wanajua kupeana habari yoyote ile inayo onekana kuhatarisha maisha yao bila mtu mwingine kujua wanapeana habari.
 Wachagga hawapendi kudhulumiwa au kuonewa [wapenda haki] kwa namna yoyote ile.
Mfano: Mnamo mwaka 1936 wachagga walichukizwa sana jinsi Serikali ilivyokuwa inaingilia Biashara yao ya Kahawa, wakapeana habari bila yeyote nje ya wachagga kujua, kuwa wabomoe Majengo yote yaliyokuwa yanatumika kukusanya Kahawa, Majengo yote yakabomolewa usiku mmoja, kuanzia Rombo hadi Siha, yalibomolewa kuanzia saa sita usiku hadi saa nne usiku huo, yote yakavunjwa.
Jaribu kufikiri wakati huo hakuna Barabara nzuri wala magari, wala simu, lakini waliweza kupeana taarifa juu ya jambo la kufanya, na waliweza kufanya.
 Wachagga siyo watu wanafiki hata kidogo.
 Wachagga wanajulikana kwa uadilifu wao, mchagga huwezi kumhonga ili apindishe Sheria Aslani, maana ni watu makini, na ndio maana wazungu wengi toka Ulaya wanataka kufanya kazi, na wachagga, wanakuwa wameshajulishwa na wenzao kuwa watu makini na waadilifu ni wachagga.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuanzisha Chama cha Ushirika.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kudai Uhuru.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kupandisha maji toka mtoni kwa njia ya mfereji kwa ajili ya umwagiliaji.
 Wachagga ndio Kabila la kwanza Afrika kuanzisha gazeti lao lililoitwa KOMKYA [Yaani kumekucha] liloanzishwa mwaka 1920.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuwa na Baraza lao lililoitwa Chagga Council
 Wachagga ndio watu ambao chakula chao cha Asili kimesambaa Nchi nzima [Mtori] na pia kinapikwa huko Ulaya kwa jina la Kilimanjaro Soup.

GAVANA EDWARD TWINNING NA RICHARD TURNBULL
Wakati gavana Edward Twinning alipokuwa anamkabidhi madaraka Richard Turnbull, alimpa wosia ufuatao.
Mara: ndio mkoa mgumu sana kuutawala [the most difficult region, rule]
MOSHI: ndio eneo lenye watu intellectual, na wanaosadikiwa kuwa ni falasha [wayahudi wa Ethiopia]
Majina ya Koo za Kichagga zinazofanana na za Kiebrania
Mushi, Lema, Kimario, Assey, Shirima, Rabo, Massawe, Lawi.

Dimitris Kimarios: Huyu alikuwa myahudi wa Ugiriki aliyefika Kilimanjaro mwaka wa 540 baada ya Kristo akitafuta wayahudi waliotokea Ethiopia na ndie mtu wa kwanza kuandika Neno, KILIMANJARO kwenye kumbukumbu za Kigiriki.
Ukiibariki Istraeli na wewe utabarikiwa na Ukiilaani Israeli na wewe utalaaniwa Asema Bwana.
“Hivyo kumbe pia Ukiilaani Kilimanjaro na wewe Utalaaniwa na Ukiibariki Kilimanjaro na wewe utabarikiwa, hii ni mimi mwandishi nimesema”;

Hebu jaribu kuwaza wewe ambaye sio mchagga ulipomuoa Mchagga ulikuaje kabla hujamuoa na baada ya kumuoa umekuwaje? Tafakari,utafiti wangu unaonyesha wote waliooa wachagga wamebarikiwa. Hebu waza wewe ambaye umewavuruga wachagga ulikuwaje kabla ya kuwavuruga na je baada ya kuwavuruga au kuwasema vibaya umekuwaje? tafakari, mifano ni mingi sana kwa wote walio wavuruga au kuwasema vibaya wachagga waliishia mahali pabaya.

ASILI YA JINA LA WACHAGGA
Jina chagga linatokana na neno la Kabila la Tigrey huko Ethiopia likiwa na maana wameteremka, na hiyo ni wakati wachagga walipokuwa wanafukuzwa na makabila ya Tigrey na Amhara.

MJI WA MOSHI
 Mji wa Moshi ndio sawa na Jerusalem ya pili kwa wachagga.
 Mji wa Moshi ndio ambao unabiashara zinazokwenda kasi kuliko mji mwingine wowote ukiacha Dar es Salaam.
 Angalia mji wa Moshi una matawi ya Benki 20 na unasemwa ni mji sio Jiji? je mji wako una Benki ngapi? Tanga zipo 9 Mbeya ziko ngapi? Mwanza je? Dodoma je? Tafakari
 Mji wa Moshi una Mahoteli mengi sana ukiwa unakaribia Arusha na Dar es Salaam.
 Mji wa Moshi ndio wenye Supermarket nyingi namini supermarket nyingi baada ya Dar es Salaam.
 Moshi ndio mji ambao wenyeji wamewekeza kuliko wageni tofauti na mikoa mingine ambapo wageni ndi wawekezaji.
 Moshi ndio mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote Tanzania.
 Moshi ni mji unaojibeba wenyewe, tofauti na Dar Es Salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza.
 Moshi ndio mji Msafi kwa asili kuliko mji mwingine wowote Tanzania.
 Moshi ndio mji wenye Bookshop kubwa na nzuri kuliko mji mwingine.
 Moshi ndio mji wenye Masoko mazuri kuliko popote Tanzania.
 Moshi ndio mji wenye maji safi na salama, unaweza kufungua Bomba na ukanywa maji na ukanywa maji bila shida, hakuna pengine Tanzania.
 Moshi ndio mji wa pili kwa utalii baada ya Arusha.
 Moshi ndio mji ambao wakazi wake wana tabia ya kufanya manunuzi na uwezo wa manunuzi.

Wachagga na Thamani ya Nyumbani.
Wachagaa popote walipo au popote walipozaliwa kama walivyo wayahudi wengine wanajua kuna nyumbani na wanapaheshimu sana nyumbani, yaani Moshi.
Mchagga hata azaliwe na kukulia wapi lakini anajua nyumbani ni Moshi.

UPOTOSHAJI WA ASILI YA WACHAGGA.
Historia nyingi zimepotosha sana Asili ya Wachagga. Nyingi zinasema wachagga ni watu wanaozungumza Kibantu_ Lakini hazisemi walikotoka na waandishi wa hizo historia sio kwamba hawajui walikotoka ila wanaficha kwa maana Fulani.

Ni mtu mmoja tu amejaribu kuelezea kwenye encyclopedia kuwa tabia za wachagga zinafanana na mambo ya Agano la Kale kwenye Biblia.

VYAKULA VYA ASILI VYA WACHAGGA.
1. Mapishi ya aina mbalimbali yatokanayo na ndizi.
Mfano: [Ulavi], Machalari, Kimbwe [Kiburu] Makato, Kitawa[Malaa], Kitalolo.

2. Mapishi yatokanayo na aina ya viazi vya Asili kama
- Vibere
- Magimbi machungu
- Fiiye nk.
3. Mapishi yatokanayo na mahindi
- Ngararimu
- Kishanganya, nk

Kinywaji cha Wachagga.
Wachagga wanajulikana kwa Unywaji wa Pombe ya Mbege.

MATUNDA YA ASILI YA WACHAGGA.
Matungusha, Mikodru, Ngomigha, Madala, nk.

Kila zao linalotoka Kilimanjaro ni la THAMANI KUBWA.
 Ukipeleka viazi mviringo Kariakoo vile vinavyotoka Kilimanjaro vinanunuliwa haraka na bei yake ni kubwa kuliko viazi toka kwingine.-
 Mahindi toka Kilimanjaro yanapata bei kubwa kuliko yatokayo sehemu nyingine kwa sababu, hayana mchanga na yamehifadhiwa vizuri.
 Cement ya Moshi cement inapendwa na mafundi kuliko za aina nyingine
 Maji ya chupa ya Kilimanjaro ndio maji Bora kabisa kuliko mengine ya chupa hapa Afrika.
 Kahawa ya Kilimanjaro ndio Bora kabisa hapa Tanzania.

UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
Kama hujawahi kufika Kilimanjaro basi siku ukifika utashangaa sana kuwa watu wanaishi msituni yaani miti uchaggani ni mingi kiasi kwamba utaona jinsi nyumba zilivyojengwa chini ya miti.

Vijiji vya Kilimanjaro ni tofauti sana na Vijiji vya maeneo mengine kwani kila mtu amejenga na kuzungukwa na shamba lake, tofauti na vijiji vya maeneo mengine ambapo vimejengwa kama kambi za wakimbizi au miji isiypangwa.
Mfano wake mtu ambaye hajafika Moshi ni kuwa unajua Ostabey ya Dar Es Salaam iliyopangwa? Basi ndivyo vijiji vya Kilimanjaro vilivyo.

UCHUMI WA KILIMANJARO
Zamani wachagga walitegemea mazao ya Kahawa na Ndizi, lakini polepole wameacha kahawa na sasa wanategemea kilimo cha ndizi na zao jipya la Maparachichi, na Macadamia na zaidi sana Biashara.

NYUMBA ZA UCHAGGANI
Unajua nyumba zilizo masaki, Osterbay, Msasani, Ada, Njiro nk? Basi huo ndio mfano wa nyumba zilizopo vijijini hapa Kilimanjaro.

Ikumbukwe nime_copy na ku_paste.
 
ANGALIZO
Habari hii nime copy na kupest toka whatsapp group
WACHAGGA
Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye kati ya vilima vya kati huko Ethiopia.

Je ni nani hawa falasha

Hii ni part 1 ya utafiti wangu part 2 nimeiacha kwa sababu ya maprofesa wetu na MADR wan chi hii ambao watajibu hii makala. Kama ambavyo nilitoa part 1 ya Kiswahili na Uvivu maprofesa na PHD Holder wakabisha nilipotoa part 2 yake wote wakaingia mitini.
Wasalaam!
Diffu
 
Sio ukweli. Wachaga hawana uhusiano wowote na wayahudi wala kabila lolote la Ethiopia. Muwe mnasoma vitabu vya historia vilivyoandikwa na credible historians, acheni hizi story za kutunga.

Wachaga ni wabantu na wanatokana na mwingiliano wa Akamba, wameru, maasai na makabila ya Tanga especially wasambaa.
 
TABIA ZA WACHAGGA
Wachagga ni watu werevu sana na wenye Akili nyingi sana
 Wachagga huwa hawapendi kupata usumbufu wanapotafuta maisha
 Wachagga ni watu wachapakazi kuliko kabila lolote lile hapa Africa.
 Wachagga ni watu makini sana na wanajua kutumia fursa yeyote iliyo mbele yao ambayo watu wengine wanaona sio fursa.
 Wachagga wanajua kutunza siri sana na wanajua kupeana habari yoyote ile inayo onekana kuhatarisha maisha yao bila mtu mwingine kujua wanapeana habari.
 Wachagga hawapendi kudhulumiwa au kuonewa [wapenda haki] kwa namna yoyote ile.
Mfano: Mnamo mwaka 1936 wachagga walichukizwa sana jinsi Serikali ilivyokuwa inaingilia Biashara yao ya Kahawa, wakapeana habari bila yeyote nje ya wachagga kujua, kuwa wabomoe Majengo yote yaliyokuwa yanatumika kukusanya Kahawa, Majengo yote yakabomolewa usiku mmoja, kuanzia Rombo hadi Siha, yalibomolewa kuanzia saa sita usiku hadi saa nne usiku huo, yote yakavunjwa.
Jaribu kufikiri wakati huo hakuna Barabara nzuri wala magari, wala simu, lakini waliweza kupeana taarifa juu ya jambo la kufanya, na waliweza kufanya.
 Wachagga siyo watu wanafiki hata kidogo.
 Wachagga wanajulikana kwa uadilifu wao, mchagga huwezi kumhonga ili apindishe Sheria Aslani, maana ni watu makini, na ndio maana wazungu wengi toka Ulaya wanataka kufanya kazi, na wachagga, wanakuwa wameshajulishwa na wenzao kuwa watu makini na waadilifu ni wachagga.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuanzisha Chama cha Ushirika.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kudai Uhuru.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kupandisha maji toka mtoni kwa njia ya mfereji kwa ajili ya umwagiliaji.
 Wachagga ndio Kabila la kwanza Afrika kuanzisha gazeti lao lililoitwa KOMKYA [Yaani kumekucha] liloanzishwa mwaka 1920.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuwa na Baraza lao lililoitwa Chagga Council
 Wachagga ndio watu ambao chakula chao cha Asili kimesambaa Nchi nzima [Mtori] na pia kinapikwa huko Ulaya kwa jina la Kilimanjaro Soup.

Sawa mkuu kwa kutujulisha sifa njema za Makabila ya kichagga, lakini kuna sifa moja umeisahau, licha ya uzuri wa tabia zingine lakini Makabila ya kichagga yamezidi tabia ya WIZI.🤣🤣
 
hyo point ya ex soldiers haiapply kwa uhuru wa Tanganyika lbd kwa nchi nyingne km Ghana na nyngne za West Africa
 
Sio ukweli. Wachaga hawana uhusiano wowote na wayahudi wala kabila lolote la Ethiopia. Muwe mnasoma vitabu vya historia vilivyoandikwa na credible historians, acheni hizi story za kutunga. Wachaga ni wabantu na wanatokana na mwingiliano wa Akamba, wameru, maasai na makabila ya Tanga especially wasambaa.
Ingependeza ukatoa list ya vitabu vinavyoelezea historia sahihi ya wachaga. Uki attach copy in pdf itapendeza zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom