SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND NYIMBO ''MKONO WA EID''
Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala...
Hizi ni simulizi za marehemu babu yangu (Mkiwa), ambae alishirikiana sana na mangi (Yohana) baba yake kama sio babu yake Justin Salakana, zamani hizo robo tatu ya Rombo yaani kutoka mto Ugwasi...
Sahihisho picha ya akina mama walimsindikiza Mwalimu.
Kulia ni Bi. Tatu bint Mzee na kushoto ni Bi. Chiku bint Said Kisusa
Daisy Sykes akiwa msichana wa miaka 8 anamkumbuka marehemu baba yake...
👉Iringa si mkoa wa kawaida katika historia ya Tanzania. iringa ni ardhi iliyobeba mizizi ya kwanza ya ujasusi wa kizalendo na mbinu za vita vya kimkakati.
👉Misingi hiyo iliwekwa na mmoja wa...
"MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI"
Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae Thomas Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua...
Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950
Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi.
Tumia picha...
Katika kipindi hiki ambacho taifa letu linapitia maumivu makali ya kisiasa, sintofahamu ya maridhiano na maswali mengi kuhusu mustakabali wa demokrasia na Umoja wa Kitaifa, sisi Watanzania...
An Invitation to Critical Dialogue: Welcome to the discussion, comrades. A truly transparent, critical dialogue is exactly what Tanzanian civic spaces require to confront uncomfortable realities...
Salam zikufikie popote ulipo .
Baada ya kumkumbuka Balozi Humpley polepole usingizi umekata ghafla,Kirjana huyu alikua ni mzalendo ,mpenda nchi yake na mtu mwenye kusema ukweli kwa lengo la...
Leo nimepata kusikiliza chimbuko la kabila linalopatikana Arusha chini ya vilima vidogo vidogo chili ya Mlima mkuu Meru
Asili
Kabila hili limetoka katika milima ya usambara na kusogea katika mkoa...
Mnamo 1867, kikundi cha wawindaji kiligundua mvulana mwenye umri wa miaka 6 ambaye alipendelea kula nyama mbichi, alikuwa na shida kusimama kwa miguu miwili, akinguruma kama mbwa mwitu, na...
Hii ni picha ya makatibu wa kwanza baada ya nchi yetu kuwa jamhuri mwaka1962.
Katika picha hii walikuwa wamebaki watatu waliohai kabla ya kufariki dunia Paul Sozigwa aliye wa pili kulia msitari...
Kuna msemo wa kijerumani huwa unasema hivi;JeDem das Seine.
Kwanza niwape salamu zangu na pia poleni kwa stress za uchaguzi.. Najua mambo ni mengi lakini things will work out.👊👊👊
Leo nnalo la...
"Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu" . Mithali 24:6
Kwa Mstari huu wa kwenye biblia acha nikupe kisa hiki kifupi na cha kipekee.
Twende kazi,
Mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.