"Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu" . Mithali 24:6
Kwa Mstari huu wa kwenye biblia acha nikupe kisa hiki kifupi na cha kipekee.
Twende kazi,
Mnamo...
Dunia ina mambo na vijimambo
Katika miaka ya 1880+ pale nchini Afrika-Kusini alikwepo bwana mmoja maarufu kwa jina la "Jumper" akihudumu kwenye kampuni ya Reli akiwa kama "SingnalMan".Bwana...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani...
Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi.
Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi...
Tunaposema Tanzania Hatumaanishi Watu Tu Bali Tunaenda Mbali Na Kuangalia vilivyomo pia.
Kulinda Tanzania Sio Tu Namna Tujuavyo Tutambue pia mchango Wa Wengine Ambao wao Hawajiwezi Katika...
Ibrahim Mohamed Bashe
"Mshindi hahitaji kuwa na nguvu kuliko aliyeshindwa. Anahitaji tu kuwa na utayari wa kustahimili zaidi." Ibn khaldun karne ya 14.
"Binadamu wote ni viungo vya mwili mmoja...
HISTORIA FUPI YA KABILA LA WAMAKONDE
Kama ulikua hujui chanzo Cha Wamakonde kuweka NDONYA na kuchanja CHALE wacha nikufahamishe;-
Wamakonde ni kabila linalo patikana katika wilaya zote...
Bob Marley, while having mixed ancestry with a white father and a black mother, self-identified as a black African and embraced Pan-Africanist ideals throughout his life.
Edward Festus Mukuka Nkoloso (1919 – 4 March 1989)
Edward Festus Mukuka Nkoloso alikuwa mwalimu, mwanaharakati wa uhuru, na mtu mashuhuri kwa wazo lake la kipekee la kuanzisha programu ya anga za...
Wajerumani walitawala Tanganyika kwa kama miaka 20-30 hivi. Walifanya mambo mabaya na mazuri katika utawala wao huo mfupi.
Walifanya mazuri kama kujenga reli ya Usambara kutoka Tanga kuelekea...
02 December 2022
Exclusive Interview With Mama Cecilia Tamanda Kadzamira, Former First Hostess of Malawi
https://m.youtube.com/watch?v=4zOUbpK945o
Cecilia Tamanda Kadzamira, GCVO (amezaliwa 25...
Tarehe 26/4/2019 ni maadhimisho ya Muungano wa Tanzania. Tukio la kitaifa linalochagizwa siku hiyo ni mkutano wa Mh Rais na Wananchi wa Mbeya katika uwanja wa Rwanda Nzovwe. Katika kudadisi...
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, Pangani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni Washirazi. Kuna wakati kule Mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.