Jukwaa la Historia

On JF:

Historia ya Iran Iran ni taifa la kihistoria kuliko hata Marekani, ingawa pia Marekani pia ni taifa la kinabii, kwa wakati mwingine tutakuja kuona siri ya Marekani na mwisho wake. Iran kibiblia...
12 Reactions
31 Replies
10K Views
BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 50 NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU WA UDOGONI SALUM "GORDON WEST" KHALIL Nimesimama nje ya Masjid Maamur tumetoka kwenye Akid ni baada ya swala ya Isha na kuna msongamano...
5 Reactions
6 Replies
282 Views
IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA Promasika / blogger 0 Promasika.Com Na Mwandishi wetu, Washington, DC Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO...
9 Reactions
42 Replies
12K Views
Leo tarehe 26 Aprili 2026, Tanzania inaadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964 - 2026). Hata hivyo, hatukutakuwa na maadhimisho ya kitaifa kwa sababu Rais wa Jamhuri ya...
3 Reactions
6 Replies
335 Views
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege. 2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa. 3.Martin Luther King, miaka 39...
48 Reactions
859 Replies
216K Views
Haya ni matukio muhim yaliyotokea na kutikisa nchi 1962: Mwalimu Nyerere kujiuzuru uwaziri mkuu wakati ameijenga Tanganyika kwa heshima, wengi walishangaa kumbe alikuwa na malengo yake, 1962...
5 Reactions
62 Replies
15K Views
https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
1 Reactions
8 Replies
194 Views
Gazeti la Jamhuri la Jumanne 21 - 27 November, 2023 lina makala: ''Zanzibar Ndani ya Muungano Haishikiki - (14). Baada ya kusoma niliingia Maktaba na nikakuta hayo yafuatayo niliyoandika miaka...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
https://youtu.be/2lbxEG81HcU?si=QQO7X8zivICICcFX
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Duka la kwanza la kuoka mikate kufunguliwa Afrika Mashariki lilikuwa Nairobi. Mzungu aliyelifungua aliitwa McCarthy. McCarthy ndiyo likaja kuwa jina Mkate.
4 Reactions
8 Replies
226 Views
Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
https://youtu.be/FTL0gAKNrBU?si=QOY--5luLyAfX_GP
2 Reactions
18 Replies
500 Views
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA MICHAEL MOORE KUTOKA MBALI Rafiki yangu kipenzi leo adhuhuri kaniletea kitabu cha Michael Moore. Huyu ndugu yangu ni mpenzi wa Maktaba hii na kaitunuku vitabu vingi...
0 Reactions
5 Replies
197 Views
https://youtu.be/xY9IEEN2K6Y
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Ancient Egypt ilitangulia sayansi ya kisasa kwa kuwa na njia ya kupima ujauzito iliyokuwa sahihi kwa takribani asilimia 70. Kabla ya kugunduliwa kwa vipimo vya maabara vya kisasa, wanawake wa...
3 Reactions
2 Replies
174 Views
Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
1 Reactions
15 Replies
401 Views
Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Back
Top Bottom