Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo. Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza...
5 Reactions
7 Replies
732 Views
Lets write "I love you" in as many languages as we can. Kiswahili: Nakupenda Kiarabu: Ana Ahibbak Kwa Kichaga....., Kihaya.....,Kinyakyusa...., Kisukuma.....,Kikwere...., Kinyamwezi...
0 Reactions
27 Replies
42K Views
Nina swali kuhusu program tajwa hapo juu hususani kwa mtu aliyepitia Doctor of Medicine (MD) kama undergraduate. Requirements ni zipi? Je inampasa graduate wa MD kutimiza mwaka mmoja wa...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Wasalaam wana jamvi! Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza...
2 Reactions
69 Replies
17K Views
Habari, naomba kufahamishwa ni vyui gani kwa hapa Tanzania vinatoa degree ya public health?
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF Ebwana nilikuwa mada moja muhimu kuhusu Universities za Tanzania. Wanafunzi wengi wamekuwa wakicopy ( plagiarism) kutoka kwenye vitabu au article mbalimbali wakati...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza. Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku...
15 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwema wana JF, Nataka kujua hivi waliomaliza form 6 kama private candidate kuna uwezekano wa kuchaguliwa kwenda JKT,au wanachukua wa shule za serikali tu?
5 Reactions
7 Replies
868 Views
Naomba msaada wa kujua kiwango cha mshahara wa mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa mtu wa kiwango cha shahada jamani hasa waalimu wapya waliopangiwa kazi mwaka huu
2 Reactions
42 Replies
19K Views
Nimeambiwa ni kozi nzuri na inapatikana mzumbe. Napenda kufahamu juu ya upatikanaji wa ajira na mishahara kama unafahamu. Nb:[emoji120] naomba tu mnijibu kistaarabu najua tuna hasira na mambo mengi.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Je, Hili jina la scholarship ni sahihi? Je, Marais wengine walipewa majina kwenye mkopo ambao fedha ni za walipa kodi? Je, nani alaumiwe, kama kuna lawama, kwa kila kitu kukiita ch aRais hata kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee! Ila hakuna disbursement wala check number. Na hujapata message ya boom...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani. Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina...
3 Reactions
1 Replies
420 Views
Utangulizi Katika ulimwengu wa elimu ya juu, umuhimu wa kuwasilisha kazi za kitaaluma zisizo na plagiarism hauwezi kupuuzwa. Plagiarism si tu kosa la kimaadili bali pia linaweza kuathiri vibaya...
2 Reactions
4 Replies
839 Views
Utangulizi Wanafunzi wa postgraduate mara nyingi wanakabiliwa na kazi nyingi za kitaaluma, ikiwa ni pamoja na assignments ngumu zinazohitaji utafiti wa kina na uwasilishaji wa maudhui ya kipekee...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Wadau nilikuwa naomba maoni yenu juu ya changamoto zinazokabiliwa na maktaba wilaya uliyopo
0 Reactions
2 Replies
344 Views
Habari Wakuu Naomba kuuliza AFISA MAUZO husomea Combination Gan Kwa level ya advance
1 Reactions
0 Replies
363 Views
Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko...
2 Reactions
3 Replies
515 Views
Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Kadhalika Bodi ya...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu. Mdogo wangu form four...
10 Reactions
94 Replies
6K Views
Back
Top Bottom